-
Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji
Feb 22, 2022 23:21Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wa pande mbili baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Msumbiji katika nyuga tofauti.
-
Iran: Uingiliaji wa US, NATO umeshadidisha mgogoro wa Ukraine
Feb 22, 2022 23:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali chokochoko za Marekani na shirika la kijeshi la NATO katika mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo umeshadidisha taharuki mashariki mwa nchi hiyo jirani na Russia.
-
Rais Ebrahim Raisi: Gesi asilia itaunda mustakbali wa nishati duniani
Feb 22, 2022 09:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (GECF) kwamba gesi asilia inaunda mustakbali wa nishati ya dunia na ni chanzo muhimu cha nishati kwa ajili ya jamii.
-
Raisi: Iran imethibitisha urafiki wake kwa nchi zote za eneo katika nyakati ngumu
Feb 21, 2022 23:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa wanataka kuleta mabadliko katika uhusiano wa kieneo katika nyuga za maingiliano, ushirikiano na maelewano na kwamba Iran imethibitisha urafiki wake kwa nchi zote za eneo katika kipindi kigumu.
-
Khatibzadeh: Utawala bandia wa Israel kila ulipotia mguu umepeleka mauaji na ukosefu wa usalama
Feb 21, 2022 23:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala bandia wa Israel unaoikalia kwa mabavu Quds tukufu umefanya mauaji na kusababisha ukosefu wa usalama kila ulipotia mguu.
-
Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran na Qatar zatiliana saini mikataba 14 ya ushirikiano
Feb 21, 2022 09:25Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar leo zimetiliana saini mikataba 14 ya ushirikiano mjini Doha katika nyanja mbalimbali katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Ebrahim Raisi na Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani.
-
Khatibzadeh: Iran inasubiri maamuzi ya Ulaya na Marekani
Feb 21, 2022 07:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Iran inasubiri maamuzi ya Ulaya na Marekani kuhusiana na mazungumzo ya kuondolewa Iran vikwazo ambayo yamekuwa yakiendelea huko Vienna, Austria.
-
Safari ya Raisi nchini Qatar, maonyesho ya diplomasia ya ujirani mwema
Feb 21, 2022 06:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amewasili Doha mji mkuu wa Qatar kwa mwaliko wa Amir wa nchi hiyo, kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (OPEC-Gas) sambamba na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Rais Raisi aelekea Qatar kuhudhuria kikao cha wakuu wa nchi zinazozalisha gesi
Feb 21, 2022 03:46Rais Ebrahim Raisi ameondoka nchini leo kuelekea Doha mji mkuu wa Qatar kwa madhumuni ya kushiriki kikao cha wakuu wa nchi zinazozalisha gesi.
-
Wabunge wa Iran: Timu ya mazungumzo isiafiki mapatano yoyote bila ya kupewa dhamana
Feb 20, 2022 21:43Wabunge zaidi ya 250 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) jana Jumapili waliwaslisha taarifa yao kwa Rais Ebrahim Raisi wakisema kwamba, timu ya mazungumzo ya Iran isisaini mapatano yoyote katika mazungumzo ya Vienna bila ya kupewa dhamana.