-
Kamanda wa Jeshi: Iran inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita
Sep 02, 2021 06:56Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran hivi sasa inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita inazohitaji.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran asisitiza kuongezwa ushirikiano na mataifa jirani
Sep 01, 2021 06:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kuongezwa kiwango cha mabadilishano ya kibiashara na ushirikiano na mataifa jirani.
-
"Kushirikiana na majirani, kipaumbele cha serikali mpya ya Iran"
Sep 01, 2021 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itashirikiana na majirani zake ili kufikia upeo wa juu wa ushirikiano wa kieneo.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan haukuwa na matunda ghairi ya uharibifu
Aug 31, 2021 22:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan haukuwa na matunda yoyote ghairi ya kusababisha uharibifu mkubwa nchini humo.
-
Iran yazalisha dozi milioni 8 za chanjo ya Coviran Barekat
Aug 30, 2021 23:20Kituo cha Habari cha Kitengo cha Utekelezaji wa Maagizo ya Imam Khomeini (M.A) kimetangaza kuwa, dozi milioni 8 za chanjo ya corona ya Coviran Barekat zimezalishwa hapa nchini.
-
Iran yaionya Marekani; Msithubutu kuzuia meli zetu za mafuta zinazoelekea Lebanon
Aug 30, 2021 07:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani haina haki wala mamlaka ya kuzuia biashara halali baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyinginezo duniani huku akiionya vikali Washington dhidi ya kuzuia meli za mafuta za nchi hii zinazoelekea Lebanon.
-
Rais Bashar al Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa wananchi wa Syria
Aug 29, 2021 22:27Rais Bashar al Assad wa Syria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada na uungaji mkono wake kwa wananchi wa nchi hiyo hiyo ya Kiarabu katika kipindi kigumu wanachopitia.
-
Rais wa Iran amemteua Eslami kuwa Mkuu mpya wa AEOI
Aug 29, 2021 22:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemteua Mohammad Eslami kuwa Mkuu mpya wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI).
-
Tehran muungaji mkono wa usalama, mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Iraq
Aug 29, 2021 21:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mkono serikali na taifa la Iraq pamoja na maamuzi yanayochukuliwa likiwemo suala la kuondoka wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo na kufanyika uchaguzi wa mapema.
-
Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Syria wakutana na kuzungumza mjini Damascus
Aug 29, 2021 08:01Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria wamekutana na kufanya mazungumzo katika mji mkuu wa Syria, Damascus.