-
Rouhani: Vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu
Apr 01, 2021 02:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendelezwa vikwazo dhidi ya taifa la Iran ni hatua isiyo ya kibinadamu.
-
Aprili 1 ni Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuanza maisha ya kweli ya Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 31, 2021 21:46Leo Alkhamisi tarehe Mosi Aprili ni Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Sekretatieti ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tarehe 12 Farvardin kwa mwaka wa Kiiran sawa na Aprili Mosi ambayo ni Siku ya Jamhuri ya Kiislamu, ndio mwanzo wa maisha ya kweli ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Endapo Marekani itatekeleza ahadi zake, sisi pia tutafanya hivyo
Mar 31, 2021 07:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, endapo kutakuwa na azma imara na Marekani ikarejea katika mazingira ya kabla ya vikwazo, sisi pia siku hiyo hiyo tutaanza kutekeleza ahadi zetu.
-
Sheikh Shahriyari: Umoja wa Maulamaa wa Kiislamu utasafisha vumbi la utakfiri katika Uislamu
Mar 31, 2021 07:18Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitizia udharura wa kudumishwa umoja na mshikamano miongoni mwa Maulamaa wa Kiislamu kwa ajili ya kuondoa vumbi la utakfiri katika taswira ya Uislamu wa kweli.
-
Rais Rouhani: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya taifa la Iran, unaendelea
Mar 30, 2021 06:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia matatizo ya kiuchumi na vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kusema kuwa hiyo ni jinai isiyo na kifani na ni ugaidi wa kiuchumi dhidi ya taifa la Iran ambao bado unaendelea.
-
Usalama na ushirikiano wa kieneo; mhimili wa mazungumzo na hotuba ya Dakta Zarif katika mkutano wa "Moyo wa Asia"
Mar 30, 2021 05:28Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha mitazamo ya Tehran kuhusiana na amani, usalama na ushirikiano wa kieneo.
-
Zarif: Enzi za ukiritimba wa Wamagharibi duniani zimekwisha
Mar 29, 2021 23:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria juu ya kuimarika nafasi chanya ya mataifa ya Asia duniani na kueleza bayana kuwa, ukiritimba wa nchi za Magharibi katika uhusiano wa kimataifa umefikia ukingoni.
-
Ali Shamkhani: Ushirikiano wa kistratejia Mashariki unaharakisha kusambaratika Marekani
Mar 29, 2021 03:45Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, ushirikiano wa kistratejia wa Mashariki utaharakisha kusambaratika Marekani.
-
Rais Rouhani: Uhusiano wa Iran na China ni wa kistratejia kwa Tehran
Mar 27, 2021 21:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhusiano wa taifa hili na China ni muhimu na wa kistratejia kwa Tehran.
-
Mpango kamili wa ushirikiano wa pande zote baina ya Iran na China, watiwa saini
Mar 27, 2021 07:28Mpango Kamili wa Ushirikiano wa Pande Zote Baina ya Iran na China umetiwa saini leo baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi hizi mbili katika sherehe maalumu hapa jijini Tehran.