-
Amir-Abdollahian: Muqawama wa Yemen umewafadhaisha na kuwakanganya watawala wa Saudia
Mar 23, 2021 03:41Hossein Amir-Abdollahian, mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema, leo baada ya miaka sita ya uvamizi uliofanywa kwa ushirikiano wa Marekani na Saudi Arabia, muqawama wa Yemen umeibuka mshindi na watawala wa Saudia wamefadhaika na kuchanganyikiwa.
-
Brigedia Jenerali Hatami: Taifa la Iran litalipiza tu kisasi cha mauaji ya shahidi Fakhrizadeh
Mar 22, 2021 22:49Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa taifa la Iran litalipiza tu kisasi cha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wake wa nyuklia, shahidi Mohsen Fakhrizadeh.
-
Jeshi la IRGC kupokea nyambizi zilizoundwa hapa nchini
Mar 22, 2021 06:36Mkuu wa Shirika la Viwanda vya Baharini la Wizara ya Ulinzi na Lojistiki za Vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litaanza kutengeneza nyambizi nyepesi na za wastani mwaka huu mpya wa Kiirani wa 1400 ulioanza jana Machi 21.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa uchaguzi kwa upande wa ndani na nje ya nchi
Mar 22, 2021 04:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu umuhimu wa uchaguzi ujao wa rais na kueleza kwamba uchaguzi utakaofana utaipa nguvu na uwezo Iran ndani na nje ya nchi.
-
Iran yapinga tuhuma za Saudia kwa jina la GCC na kutaka mazungumzo yafanyike
Mar 22, 2021 03:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga taarifa iliyotolewa karibuni na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Ujemi (GCC) na kusema kuwa kinachohitajika sasa Mashariki ya Kati ni mazungumzo badala ya tuhuma zinazotolewa na Saudi Arabia kwa kutumia vibaya jina la baraza hilo.
-
Rabiei: Inabidi vikwazo dhidi ya taifa letu tuvisukumie mbali
Mar 21, 2021 22:01Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, lazima vikwazo vya kidhulma vilivyowekwa na adui dhidi ya taifa letu, tuvipige vita na tuvisukumie mbali.
-
Vijiji 35,000 Iran vina intaneti ya kasi ya juu
Mar 21, 2021 22:01Iran imefanikiwa kuunganisha intaneti ya kasi ya juu katika maelfu ya vijiji katika kipindi cha miaka minane iliyopita.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imekosea katika kuamiliana na Iran na pia inafanya makosa katika eneo
Mar 21, 2021 13:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu kutoaminika Marekani katika masuala mbali mbali likiwemo suala la mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kuongeza kuwa, Wamarekani wamekosea katika mauamala wao na Iran na pia wanakosea kwa ujumla katika masuala ya eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Rouhani: 1400; mwaka wa ustawi wa kiuchumi Iran na mwisho wa kipindi kizito cha vita vya kiuchumi
Mar 21, 2021 09:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka kwamba mwaka 1400 Hijria Shamsia utakuwa mwanzo wa ustawi mpya wa kiuchumu humu nchini na kuanza kuzaa matunda muqawama wa miaka mitatu wa taifa katika vita vya kiuchumi tulivyotwishwa na adui.
-
Ujumbe wa Nouruz wa Kiongozi Muadhamu; sisitizo la kushindwa mashinikizo ya juu ya adui na kuendelea mafanikio ya taifa la Iran
Mar 21, 2021 05:06Katika ujumbe wake wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani wa 1400 Hijiria Shamsia, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa Idi ya Nouruz kwa wananchi wa Iran na hasa kwa familia tukufu za mashahidi na majeruhi wa vita vya kujitetea kutakatifu na vilevile mataifa mengine yanayosherehekea idi hii.