-
Chanjo ya COVID-19 ya Iran ya Fakhra yaanza kufanyiwa majaribio + Video
Mar 16, 2021 04:42Awamu ya kwanza ya majaribio kwa mwanadamu ya chanjo ya COVID-19 ya Fakhra iliyotegenezwa Iran imeanza leo.
-
Wanadiplomasia Tehran washiriki katika sherehe za mwaka mpya wa Kiirani, Nowruz
Mar 16, 2021 04:34Mabalozi na wawakilishi wa zaidi ya nchi 80 na pia wawakilishi wa taasisi za kimataifia nchini Iran wameshiriki katika maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiirani Nowruz ambao unatazamiwa kuanza Machi 21.
-
Zarif alaani nchi za Magharibi zilizompa Saddam silaha za sumu
Mar 16, 2021 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezilaani nchi za Magharibi ambazo zilimpa dikteta wa zamani wa Iraq Saddam Hussein silaha za sumu. Amesema nchi hizo hazijali kukumbuka mauaji ya umati ya watu wa Iraq ambao waliuawa kwa silaha hizo za maangamizi ya umati.
-
Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka
Mar 15, 2021 23:45Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madola vamizi ikiwemo Marekani yanapaswa kutoka katika ardhi ya Syria na hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha mapigano nchini humo na kutatuliwa kwa njia za amani mgogoro wa nchi hiyo.
-
Jeshi la IRGC la Iran lazindua mji mpya wa makombora chini ya ardhi + Video
Mar 15, 2021 08:51Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran limezindua mji mpya wa makombora uliojengwa chini ya ardhi kwa kutegemea wataalamu Wairani na teknolojia ya ndani ya nchi.
-
Iran: Hatutofanya mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 15, 2021 06:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya kimataifa ya nyuklia yanayojulikana kwa jina la Mpango wa Pamoja wa Utekelezaji kwa kifupi JCPOA.
-
Kuanza marhala ya 2 na ya 3 ya majaribio ya kitiba ya chanjo ya kwanza ya Corona ya Kiirani
Mar 15, 2021 04:47Marhala ya 2 na 3 ya majaribio ya kitiba ya chanjo ya kwanza ya corona iliyotengenezwa hapa nchini kwa jina la Coviran Barakat imeanza.
-
Rouhani: Takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha ushindi katika vita vya kiuchumi
Mar 14, 2021 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha kupatikana ushindi katika vita vya kiuchumi.
-
Tuhuma za haki za binadamu za Israel dhidi ya Iran; upotoshaji wa ukweli wa mambo
Mar 14, 2021 23:10"Kimaadili na kiakhlaq utawala haramu wa Israel hauna haki ya kuzungumzia na kutoa maoni kuhusiana na haki za binadamu nchini Iran. "
-
Iran imefanikiwa kukabiliana na janga la corona pamoja na kuwepo vikwazo
Mar 14, 2021 08:54Waziri wa Afya wa Iran Daktari Saeed Namaki amesema pamoja na kuwa nchi hii imewekewa vikwazo na iko chini ya mashinikizo ya kiuchumi lakini imefanikiwa kukabiliana na janga la corona au COVID-19.