-
Mej. Salami: Taifa la Iran limepata ushindi katika vita vya kiuchumi
Mar 14, 2021 07:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa katika vita vya kiuchumi adui ameshindwa na taifa la Iran limepata ushindi.
-
Rouhani: Mpango wa kufikisha maji ya Ghuba ya Uajami hadi mashariki mwa Iran ni mradi adhimu
Mar 14, 2021 07:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa kuyahamisha maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman na kuyapeleka hadi katika maeneo ya kati na mashariki mwa Iran ni mradi adhimu na wa kihistoria wenye lengo la kutela mlingano katika ustawi wa nchi.
-
Iran kuwaanika wahusika wa shambulio dhidi ya meli yake ya mizigo
Mar 14, 2021 04:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia suala la kuwatambua watu waliohusika na shambulio la kigaidi dhidi ya meli ya mafuta ya nchi hii katika maji ya kimataifa na karibuni hivi itawaanika.
-
Iran: Vikwazo vya upande mmoja vimewazuia mamilioni kupata chanjo ya COVID-19
Mar 13, 2021 00:21Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameshiriki katika kampeni ya kimataifa ya "Ni Kwa Pamoja Tu" ya kuhakikisha chanjo dhidi ya Corona au COVID-19 zinapatikana kwa wote na popote pale duniani na kusema, vikwazo vya upande mmoja na vilivyo kinyume cha sheria vimewazuia mamilioni kupata chanjo ya COVID-19.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika
Mar 12, 2021 08:33Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika sikukuu ya Mab’ath; sisitizo la kusimama kidete Iran dhidi ya mfumo wa ubeberu
Mar 12, 2021 07:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, malengo ya zawadi kubwa ya Mwenyezi ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad SAW ni kuanzishwa utawala wa sheria za Mwenyezi Mungu, kuleta uadilifu na kupatikana maisha mazuri na yaliyo bora.
-
Khatibzadeh: Imepita miaka sita na Saudia haijatimiza ndoto ya ushindi wa 'wiki tatu Yemen'
Mar 12, 2021 04:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu kusitishwa hujuma ya kijeshi dhidi ya Yemen na pia mzingiro dhidi ya watu wa nchi hiyo. Katika ujumbe wa Twitter ameandika: "Miaka sita imepita na ndoto ya alinacha ya kupata ushindi 'katika kipindi cha wiki tatu' haijaweza kufikiwa.
-
Taarifa dhidi ya Iran katika Baraza la Haki za Binadamu; kutumiwa vibaya taasisi ya kimataifa
Mar 11, 2021 23:14Kwa muda wa zaidi ya miaka 10 sasa kile kinachotajwa kuwa ni 'mazungumzo jumuishi' kimebadilika na kuwa jukwaa la kueneza madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran katika fremu ya haki za binadamu. Jukwaa hili na mielekeo yake yote ya upande mmoja lina malengo ambayo tayari yameainishwa na hayahusiani hata kidogo na huduma kwa haki za binadamu.
-
Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba
Mar 11, 2021 23:12Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.
-
Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA
Mar 11, 2021 23:11Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema mpango wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hauhitaji mazungumzo yoyote kwani Washington haikufanya mazungumzo wala mashauriano na yeyote wakati wa kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa.