-
Ujumbe wa Rais wa Russia kwa Kiongozi Muadhamu wakabidhiwa Dkt. Velayati
Mar 07, 2021 01:20Ujumbe wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, umekabidhiwa kwa Mshauri wa Kiongozi Muadhamu Dkt. Ali Akbar Velayati.
-
Rouhani: Iran inalipa kipaumbele suala la Usalama na amani Iraq
Mar 07, 2021 01:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi na kusisitiza kuwa, usalama, mshikamano na amani Iraq ni kipaumbele muhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jibu la Zarif kwa Sherman; mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya JCPOA ni marufuku
Mar 06, 2021 22:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesema kuwa mapatano ya JCPOA hayawezi kujadiliwa upya. Muhammad Javad Zarif ameyasema hayo akijibu ombi la serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani la kutaka mazungumza mapya yafanyike kuhusu suala hilo.
-
Iran: Tumefanikiwa kutengeneza chanjo ya corona tukiwa chini ya mashinikizo makubwa kabisa
Mar 06, 2021 09:11Mkuu wa Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, chanjo ya corona ya Iran imetengenezwa humu nchini katika kipindi ambacho Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko chini ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa.
-
Arab League yatakiwa iache kutoa taarifa zisizo na msingi
Mar 06, 2021 04:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ijiepushe na tabia yake ya kutoa taarifa zisizo na msingi wowote na badala yake, ikumbatie mambo ambayo yanaweza kuimarisha ushirikiano wa nchi za eneo.
-
Iran yaionya Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati
Mar 06, 2021 04:44Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati kwa kisingizio cha mripuko uliotokea katika meli ya utawala huo katika Bahari ya Oman wiki iliyopita.
-
Kiongozi Muadhamu: Harakati za mazingira ni harakati za kidini na kimapinduzi
Mar 05, 2021 10:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuwa, harakati za mazingira ni harakati za kidini na kimapinduzi na haipasi kuzitazama kwa jicho la mapambo na vitu vya starehe.
-
Zarif amjibu Sherman: Hakuna mazungumzo mengine kuhusu JCPOA
Mar 05, 2021 04:18Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Wendy R. Sherman anayetazamiwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuhusu suala la kufanyika mazungumzo mengine ya nyuklia na Iran akisema: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayawezi kuzungumziwa tena.
-
Rais Rouhani: IAEA isiwe uwanja wa michezo ya kisiasa
Mar 04, 2021 09:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA usigeuzwe kuwa uwanja wa michezo ya kisiasa na amezitaka nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kutambua kuwa michezo yao ya kisiasa haiwezi kuzisaidia kukwepa majukumu yao ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Radiamali ya Iran baada ya Troika ya Ulaya kufuta mpango wa kuishitaki Tehran
Mar 04, 2021 09:48Sambamba na kuenea habari kwamba nchi tatu za Ulaya za Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zimeachana na mpango wao wa kupasisha azimio dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA, mwakilishi wa Iran mjini Vienna amesema kuwa, hatimaye mantiki imeshinda.