-
Takht Ravanchi: Marekani inatumia vikwao kujinufaisha binafsi
Jan 10, 2021 09:46Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, serikali za Marekani zimekuwa zikitumia vikwao kama silaha ya kuyashinikiza mataifa mengine na kujinufaisha binafsi.
-
Iran haishughulishwi na mienendo miovu ya Trump katika siku zake hizi za mwisho
Jan 10, 2021 04:51Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu haibabaishwi wala haishughulishwi na mienendo miovu na ghalati ya Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake hizi za mwisho madarakani.
-
Mantiki yenye nguvu ya Iran katika kulinda usalama na kukabiliana na vitisho
Jan 09, 2021 22:57Miongoni mwa sehemu muhimu ya siasa za kiulinzi za Iran ni kuimarisha uwezo wa kujihami wa makombora ambao una umuhimu wa kistratejia na kimkakati katika masuala yanayohusiana na kuimaisha uwezo wa kijeshi na kukabiliana na vitisho vya adui.
-
Rouhani: Wananchi wa Iran hawawi wenzo wa kufanyia majaribio ya chanjo za nchi za kigeni
Jan 09, 2021 09:31Rais Hassan Rouhani amesema, wananchi wa Iran hawatakuwa wenzo wa kufanyia majaribio chanjo za nchi za kigeni.
-
Zarif akosoa undumakuwili wa Wamagharibi mkabala wa mienendo ya Trump
Jan 08, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa nchi za Magharibi ambazo hivi sasa zinakosoa mienendo ya kukanyaga utawala wa sheria ya Rais Donald Trump wa Marekani, licha ya kufuata kibubusa sera zake za kibeberu katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; fedheha ya kidemokrasia ya Marekani na mustakabali wa JCPOA
Jan 08, 2021 10:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa siku ya leo ya maadhimisho ya mapambano ya Dei 19 ya wananchi wa Qum dhidi ya utawala wa kiimla wa Shah ambapo ameashiria matukio ya hivi karibuni nchini Marekani, sharti la Iran la kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na uwepo wa kieneo na uwezo wa kiulinzi wa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Kurejea Marekani katika JCPOA bila vikwazo kuondolewa ni kwa madhara yetu
Jan 08, 2021 09:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uamuzi wa bunge na serikali ya Iran kupunguza utekelezwaji wa baadhi ya ahadi za nchi hii katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni uamuzi sahihi na wa kimantiki kabisa na kuongeza kuwa: "Kuna uwezekano wa Marekani kurejea katika JCPOA bila vikwazo kuondolewa na hilo likifanyika litakuwa kwa madhara yetu."
-
Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO
Jan 08, 2021 08:28Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Kiongozi Muadhamu azungumza na wananchi kwa mnasaba wa Dei 19
Jan 08, 2021 04:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei hivi sasa anaendelea na hotuba yake kwa wananchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya mapambano ya Dei 19 ya wananchi wa Qum dhidi ya utawala wa kiimla wa Shah.
-
Vifo vya corona vyapungua kwa asilimia 70 nchini Iran
Jan 07, 2021 04:12Waziri wa Afya wa Iran ametangaza kuwa vifo vinavyosababishwa na virusi vya corona vimepungua kwa asilimia 70 hapa nchini katika kipindi cha siku 45 zilizopita.