-
Rouhani: Imani ya wananchi kwa wahudumu wa sekta ya afya imeiepusha nchi na wimbi la tatu la corona
Dec 19, 2020 08:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja wimbi la tatu la corona hapa nchini kuwa kali sana na kueleza kuwa, umoja, maelewano na imani ya wananchi kwa wafanyakazi wa sekta ya afya vimeiepusha nchi na wimbi hilo la kutisha.
-
Haki za binadamu; chombo cha kisiasa cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Iran
Dec 19, 2020 07:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kupitishwa azimio lililo dhidi ya Iran katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hakuna itibari yoyote ya kisheria na kwamba waliobuni azimio hilo wanazitumia vibaya taasisi za kimataifa.
-
Iran: Wanaozuia dawa kuwafikia watoto hawastahiki kudai kuwa watetezi wa haki za binadamu
Dec 19, 2020 01:46Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu na Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Idara ya Mahakama ya Iran amesema: "Wale wanaowazuia watoto wasio na dhambi kupata dawa hawana ustahiki wa kuzungumzia hata haki za wanyama."
-
Jenerali Salami: Iran ina kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kumshinda adui
Dec 18, 2020 04:37Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema taifa hili linamiliki kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kutoa pigo kwa maadui na wavamizi.
-
Zarif: Vikwazo vya Washington vimewadhuru Wamarekani wenyewe
Dec 18, 2020 00:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera ya vikwazo ya Washington imekuwa na madhara makubwa hata kwa wananchi wa Marekani wenyewe na kampuni zao na hivyo kusababisha ukosefu wa ajira miongoni mwa Wamarekani.
-
Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewalazimu maadui kusalimu amri
Dec 17, 2020 08:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja wa taifa la Iran ni sababu kuu ambayo imepelekea maadui wa Iran kusalimu amri.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu kutokuwa na shaka ulipizaji kisasi dhidi ya waliohusika na mauaji ya Kamanda Soleimani
Dec 17, 2020 07:54Hatua ya kigaidi ya Marekani kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, ni jambo linaloweza kuchunguzwa katika mtazamo wa uhasama na uadui mkongwe wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yaitaka Marekani iondoe askari wake vamizi nchini Syria
Dec 17, 2020 04:01Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vamizi vya nchi ajinabi vikiweko vya Marekani vinapaswa kuondoka nchini Syria mara moja.
-
Kiongozi Muadhamu: Kisasi dhidi ya wauaji wa Qassim Suleimani hakina shaka
Dec 16, 2020 07:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa Luteni Jenerali Qassim Suleimani lazima walipiziwe kisasi na kisasi hiki hakina shaka na kitatekelezwa wakati wowote.
-
Rais Rouhani: Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko huko nyuma
Dec 16, 2020 07:52Rais Hassan Rouhani amesema kuwa, Iran ya leo ina uwezo na nguvu kubwa kuliko ilivyokuwa huko nyuma.