-
Wanazuoni wa Kiislamu Iran walaani pendekezo dhidi ya Uislamu la serikali ya Ufaransa
Oct 10, 2020 08:40Jumuiya ya Wahadhiri katika Chuo cha Kiislamu cha Qum, nchini Iran imelaani vikali pendekezo la serikali ya Ufaransa la kuweka vizingiti katika harakati za Kiislamu nchini humo.
-
Rais Rouhani: Wasiovaa barakoa Tehran kutozwa faini
Oct 10, 2020 08:36Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema watakaopatikana na hatia ya kutovaa barakoa mjini Tehran watatozwa faini riali laki tano
-
Iran yaunga mkono mapatano ya usitishwaji vita katika eneo la Nagorno-Karabakh
Oct 10, 2020 08:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha mapatano ya usitishwaji vita katika eneo la Nagorno-Karabakh.
-
Gharib Abadi: Ulaya ina jukumu kubwa katika kukabiliana na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya Iran
Oct 10, 2020 04:46Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna amesema, hatua ya Marekani ya kuziwekea vikwazo benki 18 za Iran inatishia na kuhatarisha maisha ya raia wa kawaida; na akasisitiza kwamba Ulaya ina jukumu kubwa kuhusiana na suala hilo.
-
Khatibzadeh: Wairani hawatishwi na matusi na bwabwaja za Trump
Oct 09, 2020 23:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran mapema leo amejibu matamshi ya kifidhuli yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kusema kuwa, wananchi wa Iran hawatishwi na matusi na maneno ya kibabe ya utawala uliofeli wa Marekani.
-
Rais Rouhani: Marekani haitalishinda taifa la Iran kwa kuzuia dawa na chakula
Oct 09, 2020 09:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitaweza kulishinda taifa la Iran kwa kuweka vizingiti vya kununua na kudhamini dawa na chakula.
-
Zarif: Njama za Marekani za kuwaua Wairani kwa njaa ni jinai dhidi ya binadamu
Oct 09, 2020 04:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vipya vya kibenki na kusisitiza kuwa, taifa hili bila shaka litavuka salama udhalimu na ukatili huu mpya wa Washington.
-
Marekani yaiwekea Iran vikwazo vingine vipya vya kibenki
Oct 08, 2020 10:53Serikali ya Marekani imeiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vipya vya kibenki ukiwa ni mwendelezo wa mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu vya Washington dhidi ya Tehran.
-
Iran yawataka Wamarekani watekeleze kivitendo maneno yao
Oct 08, 2020 03:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jinsi Marekani inavyoendelea kutoa mapendekezo chapwa na ya kipuuzi ya kudai kutaka kuisaidia Tehran na amewaambia viongozi wa White House watekeleze kivitendo matamshi yanayotolewa na vinywa vyao.
-
Rais Rouhani: Iran haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake
Oct 07, 2020 09:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitoruhusu magaidi waweko kwenye mipaka yake na kuongeza kuwa, jambo hilo halikubaliki kabisa na Tehran imewatangazia waziwazi msimamo wake huo, viongozi wa nchi zote jirani.