-
Je, vyombo vya habari vinavyohasimiana na Iran vinakiuka sheria za kimataifa katika upotoshaji?
Jan 26, 2026 09:26Kadiri wimbi la fitina, vurugu na machafuko yanayohusishwa na ushawishi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Iran lilivyozidi kupamba moto, nafasi ya vyombo vya habari hasimu katika kuchochea vitendo vya ugaidi na kukiuka wazi misingi ya sheria za kimataifa imejitokeza kwa uwazi tena.
-
Iran: Tutatoa jibu la 'kujutisha' kwa uchokozi wowote wa maadui
Jan 26, 2026 08:49Iran imeonya kwamba, Jamhuri ya Kiislamu itatoa "jibu la kujutisha" kwa kitendo chochote cha uchokozi, ikisisitiza kwamba taifa hili sasa lina uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi kuliko hapo awali.
-
Iran yazifungulia mashitaka US, Israel kwa kuunga mkono ugaidi
Jan 26, 2026 06:46Iran imewasilisha malalamiko ya kisheria na jinai katika majukwaa ya kimataifa dhidi ya Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel, na makundi kadhaa ya kigaidi kwa kuunga mkono na kufadhili vitendo vya ugaidi na uhaini dhidi ya usalama wa taifa wa Iran.
-
Iran yapuuza propaganda za mtindo wa Kinazi kuhusu idadi ya vifo vilivyosababishwa na ghasia
Jan 26, 2026 03:16Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amepuuza madai ya hivi karibuni kwamba takriban watu 30,000 waliuawa wakati wa ghasia zilizoungwa mkono na wageni za hivi karibuni nchini Iran.
-
Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran: Tutaendelea kuilinda Jamhuri ya Kiislamu
Jan 25, 2026 07:54Brigedia Jenerali Ahmad Reza Radan, Kamanda Mkuu wa Polisi ya Iran amesema kuwa wananchi na maafisa wa Iran watailinda Jamhuri ya Kiislamu hadi tone la mwisho la damu yao.
-
Brigedia Jenerali Vahidi: Tumejiandaa kutoa jibu kali kwa chokochoko za maadui
Jan 25, 2026 03:49Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema Iran itatoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wowote wa maadui zake.
-
Iran yasema imeongeza nguvu ya makombora yake tangu vita na Israel
Jan 25, 2026 00:42Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Iran sasa ina makombora bora na imara zaidi kuliko yale yaliyotumika wakati wa vita vifupi kati yake na utawala wa Kizayuni Israel mwaka uliopita.
-
Spika wa Bunge: Israel imeshindwa ‘kwa fedheha zaidi’ katika ghasia za Iran kuliko vita vya siku 12
Jan 25, 2026 00:42Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa utawala wa Israel umeshindwa kwa fedheha kubwa zaidi katika ghasia za kigaidi zilizotokea hivi karibuni nchini Iran ikilinganishwa na vita vya siku 12 vya kulazimishwa vya mwezi Juni mwaka jana.
-
Waziri Mkuu wa Malaysia: Tutaendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Iran
Jan 25, 2026 00:40Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza kuwa, nchi yake itataendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
-
Maafisa na wachambuzi wa Israel: Tusizidishe chumvi; uwezo wa makombora wa Iran si mzaha
Jan 24, 2026 09:43Maafisa na wachambuzi wa Israel, wameonya kuhusu matokeo mabaya ya mzozo wowote na Iran, wakisisitiza kwamba nguvu ya makombora na uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni changamoto kubwa kwa Tel Aviv na kwamba Israel haipaswi kupuuzwa ukweli huo.