-
Namaki aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona
Jun 07, 2020 08:43Waziri wa Afya wa Iran Saeed Namaki ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu kwa jinsi ilivyoshughulikia tatizo la maambukizi ya virusi vya corona hapa nchini akisema taifa hili sasa limekuwa muuzaji nje wa vifaa na zana za tiba baada ya kuwa muagizaji kutoka nje wa vifaa madawa licha ya vikwazo haramu vya Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amuomboleza Ramadhan Shalah
Jun 07, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia katibu mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina.
-
Qalibaf: Hujuma ya kigaidi ya ISIS dhidi ya Bunge la Iran ilikuwa nembo ya ndoto chafu ya maadui
Jun 07, 2020 02:54Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema hujuma ya kigaidi ya ISIS au Daesh dhidi ya Bunge la Iran ilikuwa nembo ya ndoto chafu za maadui wa taifa la Iran.
-
Jibu la Zarif kwa matamshi ya karibuni ya Trump kuhusu mapatano na Iran
Jun 07, 2020 02:46Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameandika katika ukurasa wake wa twitter akijibu matamshi ya karibuni ya Trump kuhusu mapatano na Iran kuwa: " Bwana Trump sisi tumefikia mapatano ya kibinadamu licha ya jitihada hasi zilizofanywa na maafisa wenu. Wakati huo huo tayari tulikuwa tumefikia mapatano hata kabla hujaingia madarakani."
-
"Trump anaongoza magaidi waliovaa tai huko White House"
Jun 06, 2020 07:10Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa, wananchi waliostaarabika wa Iran wanamtambua vyema mkuu wa magaidi waliovaa tai katika Ikulu ya Marekani, White House.
-
Rais Rouhani: Watu wa afya daima wamekuwa wakipata mafanikio ya kujivunia nchini Iran
Jun 06, 2020 07:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia mafanikio waliyoyapata watu wa afya humu nchini katika masuala ya kisayansi na utafiti wa kupambana na kirusi cha corona na kusema, watu wa fya nchini Iran daima wamekuwa wakipata mafanikio ya kujivunia.
-
Spika wa Bunge la Iran amjibu Trump kwa aya ya Qurani Tukufu
Jun 06, 2020 03:41Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ametoa pendekezo la kufanyika duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia na Tehran na kusisitiza kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kumshinda adui.
-
Iran yazitaka Marekani na EU ziiondolee Syria vikwazo
Jun 06, 2020 03:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka kuondolewa mara moja vikwazo haramu dhidi ya taifa la Syria vilivyowekwa na Marekani na Umoja wa Ulaya.
-
Javad Zarif ajibu ujumbe wa Trump aliyeitaka Iran kuketi kwenye meza ya mazungumzo Marekani
Jun 05, 2020 22:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani kwa Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo mapya akisema kuwa, Iran au pande nyingine za mapatano ya nyuklia ya JCPOA, hazijawahi kuondokwa kwenye meza ya mazungumzo.
-
Russia yalaani vitisho vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 05, 2020 06:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa hatua ya Marekani ya kuzitishia nchi na pande zote zinazosahilisha usafirishaji wa mafuta ya Iran kuelekea Venezuela ni jambo lisilokubalina na linalopaswa kulaaniwa.