-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu apongeza utendaji kazi wa IRGC
Apr 22, 2020 02:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu na kupongeza utendaji kazi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC.
-
Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani
Apr 21, 2020 22:44Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.
-
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 41 ya hamasa na kuzishinda njama za maadui
Apr 21, 2020 06:22Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimetoa taarifa kwa mnasaba wa tarehe Pili Ordibihesht kwa kalenda ya Hijria Shamsia mwafaka na mwezi Aprili inayosadifiana na siku ya kuasisiwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na kuenzi nafasi na mchango hai, ujumbe na jukumu muhimu la asasi hii ya Kimapinduzi katika kuimarisha, kulinda na kupanua Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran yaboresha uwezo na kasi ya makombora yake ya baharini
Apr 21, 2020 03:41Kamanda wa Kikosi cha Baharini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC amesema kikosi hicho kimeunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi, yanayoweza kupiga umbali wa kilomita 700.
-
Zarif: Iran inashirikiana na UN kuhitimisha matatizo ya Wayemen
Apr 21, 2020 03:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inashirikiana na Umoja wa Mataifa katika jitihada za kuhakikisha kuwa matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi wa Yemen zinafikia tamati.
-
Zarif: Kuuawa shahidi Qassem Soleimani hakutabadili uungaji mkono wa Iran kwa muqawama
Apr 20, 2020 22:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC, hakutabadili mwelekeo wa uungaji mkono wa Iran kwa muqawama na mapambano yake dhidi ya ugaidi katika eneo la magharibi mwa Asia
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran akutana na Rais wa Syria
Apr 20, 2020 07:34Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ambaye leo amefanya safari ya siku moja nchini Syria amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Bashar al-Assad ambapo wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ya pande mbili, kieneo na kimataifa.
-
Abbas Mousavi: Vikosi vya kigeni visiilazimishe Iran kutoa onyo
Apr 20, 2020 07:18Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa jibu kwa madai ya Marekani kuhusiana na doria ya vikosi vya ulinzi vya taifa hili katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kwamba, vikosi vya kigeni visiilazimishe Iran kutoa onyo na ukumbusho.
-
IRGC: Jeshi la Kigaidi la Marekani ni chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi
Apr 20, 2020 03:07Kikosi cha Majini cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimesema chanzo kikuu cha chokochoko na ukosefu wa usalama katika eneo la Asia Magharibi ni uwepo haramu wa majeshi ya kigaidi ya Marekani. Katika taarifa yake, IRGC imesisitiza kuwa askari wote wa Marekani wanapaswa kuondoka katika eneo la Ghuba ya Uajemi na Asia Magharibi.
-
Fatwa ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Saumu ya Ramadhani wakati wa janga la corona
Apr 20, 2020 02:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amejibu swali (Istifta) kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika mazingira ya sasa ya kuenea janga la COVID-19 au corona duniani.