-
Fatwa ya Kiongozi Muadhamu kuhusu Saumu ya Ramadhani wakati wa janga la corona
Apr 20, 2020 02:08Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amejibu swali (Istifta) kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika mazingira ya sasa ya kuenea janga la COVID-19 au corona duniani.
-
Zarif amhutubu Trump: Usiingilie masuala ya nchi zingine
Apr 19, 2020 22:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaka rais wa Marekani Donald Trump akome kuingilia masuala ya nchi zingine.
-
Zaidi ya wagonjwa 57,000 wapata afueni ya corona nchini Iran
Apr 19, 2020 10:31Wizara ya Afya, Matibabu na Mafunzo ya Tiba ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa wagonjwa 57 elfu na 23 wamepata afueni na kuruhusiwa kurudi nyumbani baada ya kuugua ugonjwa wa COVID-19 humu nchini.
-
Iran: Tunatumia mbinu mpya kutambua waathiriwa wa corona
Apr 19, 2020 10:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vipimo vinavyofanywa vya proteini mpya ijulikanayo kiutalamu kwa jina la "fungomwili" au antibody ni miongoni mwa mbinu mpya zinazotumiwa na Iran kutambua wagonjwa wa COVID-19.
-
Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia
Apr 19, 2020 03:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.
-
Bidhaa za kiteknolojia za kukabiliana na ugonjwa wa corona zazinduliwa Iran
Apr 18, 2020 06:54Bidhaa mbali mbali za kiteknolojia za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona ambazo zimeundwa na mashirika ya Iran ambayo msingi wake ni elimu yaani knowledge-based zimezinduliwa mjini Tehran.
-
Jeshi la Iran lapokea ndege za kivita zisizo na rubani
Apr 18, 2020 06:46Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limepokea ndege mpya za kivita zisizo na rubani ambazo zina uwezo wa kutekeleza oparesheni kadhaa.
-
Uwepo kijeshi wa kichokozi wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi; chanzo cha kuvurugika amani katika eneo hilo
Apr 18, 2020 03:36Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kuwepo kijeshi Marekani katika Ghuba ya Uajemi ndiko kunakovuruga amani na usalama wa eneo hilo. Brigedia Jenerali Amir Hatami alitoa kauli hiyo jana hapa mjini Tehran pembeni ya madhaamisho ya Siku ya Jeshi.
-
Larijani: Iran itaendelea daima kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina
Apr 17, 2020 22:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Brigedia Amir Hatami: Matokeo ya uwepo wa Marekani Ghuba ya Uajemi ni ukosefu wa usalama
Apr 17, 2020 20:13Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo wa Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, hatua hiyo haina matokeo mengine ghairi ya ukosefu wa usalama.