-
Barua ya Iran kwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO: Vikwazo vya Marekani ni mfano wa wazi wa jinai dhidi ya binadamu
Apr 04, 2020 22:22Kunyimwa watu haki ya kunufaika na dawa, vifaa vya matibabu na huduma za afya ni mfano wa wazi wa jinai dhidi ya binadamu
-
Iran yazindua mfumo mpya wa kupima COVID-19
Apr 04, 2020 07:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua mfumo mpya wa kupima ugonjwa wa COVID-19 au corona. Mfumo huo unatumia Akili Bandia au Artificial Intelligence na unatumia taswira za mashine ya CT Scan kubainisha kuwepo ugonjwa wa corona katika mwili wa binadamu.
-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 06:56Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.
-
Wagonjwa takribani 18,000 wa corona wapata nafuu nchini Iran
Apr 03, 2020 09:17Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, hadi hivi sasa watu 17,935 wameshapata nafuu kikamilifu na kuruhusiwa kurudi nyumbani kutoka hospitalini humu nchini.
-
Waziri wa Afya: Hali ya corona Iran itabadilika hivi karibuni
Apr 03, 2020 03:29Waziri wa Afya wa Iran Saeed Namaki amesema hali ya kimataifa ya Iran kuhusiana na ugonjwa wa corona au COVID-19 itabadilika sana katika kipindi cha siku zijazo.
-
Zarif: Iran itawatia adabu wachocheao vita
Apr 02, 2020 04:46Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amemwambia Rais Donald Trump wa Marekani kwamba Iran haitaanzisha vita lakini itawatia adabu wanaochechea vita.
-
Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran
Apr 02, 2020 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'
-
Iran: Panahitajika ushirikiano wa dunia ili kuviangamiza virusi vya corona
Apr 02, 2020 02:56Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kuviangamiza virusi vya corona kuna ulazima wa kuweko ushirikiano na mshikamano wa walimwengu.
-
Meja Jenerali Safavi: Zama za kusambaratika nguvu za Marekani zimewadia
Apr 02, 2020 02:42Msaidizi na Mshauri wa ngazi za juu wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran amesema kuwa, zama za kusambaratika nguvu za kisiasa na kijeshi za Marekani katika Mashariki ya Kati na ulimwenguni kwa ujumla zimewadia.
-
Kosa dogo kabisa la maadui waovu dhidi ya Iran litakuwa mwisho wao
Apr 02, 2020 01:52Katika siku hizi viongozi wa serikali yenye kinyongo ya Marekani wameendeleza uhasama wao wa miaka 41 sasa dhidi ya taifa la Iran.