-
Kiongozi Muadhamu: Maadui wa Iran muda wote wanafikiria kuharibu usalama wa Iran tu + Video
Nov 17, 2019 08:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba wanachofikiria maadui siku zote ni kuharibu usalama na utulivu wa taifa la Iran.
-
Raisi: Uislamu ndio unaolinda haki za binadamu, si Wamagharibi
Nov 17, 2019 04:45Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa dhana kuwa nchi za Magharibi ndio walinzi wa haki za binadamu na kueleza bayana kuwa, Uislamu ndio umelinda na kuheshimu kikamilifu haki za binadamu.
-
Vikwazo na njia za kukabiliana navyo; kwa mtazamo wa Waziri wa Ulinzi
Nov 17, 2019 04:42Brigedia Jenerali Amir Hatami Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ukhabithi wa mfumo wa kibeberu dhidi ya Iran ya Kiislamu na kueleza kuwa: Adui hii leo analenga maisha yetu na kujaribu kulisambaratisha taifa hili kwa kutoa pigo kwa Iran ya Kiislamu.
-
Jumuiya ya Kiislamu yasisitizia umoja na kuwa macho Waislamu
Nov 17, 2019 04:05Viongozi wa Kiislamu kutoka nchi mbalimbali duniani walioshiriki mkutano wa 12 wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu hapa Tehran wamesisitizia udharura wa kudumishwa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani.
-
'Kuimarishwa uwezo wa kujihami Iran ni njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani'
Nov 16, 2019 23:08Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni kuimarisha uwezo wa nchi katika nyanja zote hasa katika uga wa nguvu za kijeshi
-
Iran yashika nafasi ya pili katika mashindano ya ubunifu na uvumbuzi duniani
Nov 16, 2019 23:04Timu ya Iran ambayo imevumbua 'glovu erevu ya kielektroniki yenye joto' imefanikiwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya kimataifa ya uvumbuzi na ubunifu nchini Croatia.
-
Velayati: Ubeberu wa Kimataifa unafanya njama za kuzuia ongezeko la wafuasi wa Uislamu
Nov 16, 2019 10:35Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Mwamko wa Kiislamu amesema kuwa, ubeberu wa kimataifa ukingozwa na Marekani, unafanya njama za kuzuia ongezeko la wafuasi wa Uislamu linalozidi kila uchao.
-
Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali
Nov 15, 2019 10:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufutwa Israel kuna maana ya kuondolewa utawala bandia wa Kizayuni na mahala pake kuchukuliwa na serikali iliyochaguliwa na wamiliki wa asili wa Palestina ambao ni Waislamu, Wakristo na Mayahudi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Kujipenyeza waistikbari wa kimataifa ndio chanzo cha masaibu ya mataifa ya eneo
Nov 15, 2019 10:21Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema chanzo cha matatizo na masaibu ya eneo la Asia Magharibi ni kujipenyeza waistikbari wa kimataifa na amesisitiza kuwa: "Watu wa eneo lazima wawe macho na waangalifu na wasimame kidete kukabiliana na njama na ushawishi wa maadui."
-
Iran yapinga azimio la haki za binadamu la UN dhidi yake
Nov 15, 2019 10:20Iran imepinga azimio dhidi yake kuhusu haki za binadamu ambalo limetolewa na Umoja wa Mataifa na kusema limetokana na utashi wa kisiasa, ni mfano wa unafiki na nchi za Magharibi kutumia vibaya mfumo wa Umoja wa Mataifa kulenga nchi huru na zinazojitegemea.