-
Maombolezo ya Imam Ali Ridha (as) nchini Iran
Oct 29, 2019 04:22Leo Jumanne tarehe 30 Swafar 1441 Hijiria sawa na tarehe 29 Oktoba Miladia inasadifiana na siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali ar-Ridha (as), mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) miaka 1237 iliyopita.
-
Admirali Fadavi: Maadui wametambua kwamba chaguo la kijeshi dhidi ya Iran halina natija
Oct 28, 2019 23:26Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa adui amefikia natiha hii kuwa, chaguo la kijeshi dhidi ya Iran halina natija. Amesema kuwa uwezo wa sasa wa kijeshi wa Iran si wa kulinganishwa na wakati uliopita.
-
Mousavi: Iraq na Syria ziliisambaratisha kitambo ISIS kwa msaada wa Iran
Oct 28, 2019 08:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) lilisambaratishwa na Iraq na Syria muda mrefu umepita, kwa msaada wa kilojistiki wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Mshauri wa Spika wa Bunge: Kinara wa genge la kigaidi la DAESH alikuwa kikaragosi cha Marekani
Oct 28, 2019 04:05Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema, kinara wa genge la kigaidi la DAESH (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ni kikaragosi kilichotengezwa na Marekani ambacho muda wa matumizi yake ulikuwa umeshamalizika.
-
Zarif amlaumu Trump kwa uongo wake mpya katika kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya wananchi wa Iran
Oct 27, 2019 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemkosoa vikali rais wa Marekani, Donald Trump kwa uongo wake mpya katika kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya wananchi wa kawaida wa Iran.
-
Muosavi: Iran inafuatilia kwa makini matukio ya Iraq
Oct 27, 2019 04:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kusikitishwa kwake na yanayojiri katika nchi jirani ya Iraq ambayo yamepelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya watu na kuharibiwa mali ya umma na kusema: Tehran inafuatilia kwa makini yanayojiri nchini humo.
-
Bloomberg: Vikwazo vya Marekani vimefali, uchumi wa Iran unaimarika
Oct 26, 2019 23:09Jarida la kimataifa la biashara la Bloomberg limethibitisha kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimefeli na kwamba uchumi wa nchi hii karibuni utaanza kuimarika.
-
Trump aendeleza hatua za kiuadui katika sekta ya mafuta dhidi ya Iran
Oct 26, 2019 04:49Rais Donald Trump wa Marekani ametaka zichukuliwe hatua kali zaidi za vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran ukiwa ni muendelezo wa hatua za kiuadui na uhasama za serikali ya Washington dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Hotuba ya Rais Rouhani katika mkutano wa NAM; sisitizo la udharura wa kuimarishwa amani na usalama wa eneo
Oct 26, 2019 04:17Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amehutubia mkutano wa 18 wa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungama na Siasa za Upande Wowote NAM mjini Baku, mji mkuu wa Azerbaijan na kueleza kwamba, njia ya kujinasua na migogoro ni kuheshimu uwajibikaji, kutoingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine na kuandaa mazingira mwafaka kwa ajili ya mazungumzo na ushirikiano.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Stratijia ya Iran ni kuamiliana vyema na jamii ya kimataifa
Oct 25, 2019 09:33Imam wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, tofauti na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuamiliana vyema na jamii ya kimataifa.