-
Zarif: Serikali ya Trump ni mshiriki wa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 25, 2019 03:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Donald Trump huko Marekani ni mshiriki wa jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA
Oct 24, 2019 13:11Waziri Mkuu wa Japan ametoa mwito kwa nchi zote husika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.
-
Rouhani: Juhudi za Marekani za kutaka Iran itengwe zimefeli
Oct 24, 2019 13:06Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Marekani imefeli katika jitihada zake za kutaka kutoa pigo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kuifanya itengwe katika uga wa kimataifa.
-
Haki za Binadamu; mchezo mchafu wa siasa za Magharibi dhidi ya Iran
Oct 24, 2019 08:45Moja ya silaha zinazotumiwa na Magharibi katika kuamiliana na nchi zenye misimamo huru ni kutumia maudhui ya haki za binadamu; na katika hilo, mtazamo wa upande mmoja tu na wa Kimagharibi kwa maudhui hiyo katika jamii ambayo ni ya Kiislamu, inayojitawala na yenye misimamo huru ni aina mojawapo ya undumakuwili unaombatana na siasa chafu.
-
Iran: Vitisho vya Trump vya kutaka kutushambulia kijeshi ni upayukaji
Oct 24, 2019 02:49Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Amir Hatami amesema kuwa, vitisho vya hivi karibuni vya rais wa Marekani, Donald Trump vya kutaka kuishambulia kijeshi Iran ni upayukaji tu wa kujaribu kuficha kufeli siasa za Washington mbele ya taifa hili la Kiislamu.
-
Iran: Madikteta wasizungumzie kabisa haki za binadamu
Oct 24, 2019 02:46Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ripoti mpya iliyotolewa na Javaid Rehman, ripota maalumu wa umoja huo imetolewa katika kuendeleza ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba madikteta hawana nafasi ya kuzungumzia haki za binadamu nchini Iran.
-
Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA
Oct 23, 2019 23:19Rais Hassan Rouhani amewashangaa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaodhani kuwa, kwa kuhujumu na kukiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu hapa nchini.
-
Zarif: 'Uraibu wa vikwazo' wa Marekani unadhoofisha mahusiano ya kiuchumi
Oct 23, 2019 09:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uraibu wa Marekani wa kuziwekea vikwazo nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM na hata madola makubwa kama China na Russia unadhoofisha mahusiano ya kiuchumi duniani.
-
Velayati: Uhusiano wa Iran na China ni wa kistratejia
Oct 23, 2019 04:34Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Anayehusika na Masuala ya Kimataifa amesema kuwa uhusiano wa siku zote wa Iran na China ni wa kistratejia.
-
Iran yaitaka UN kushiriki katika uchunguzi wa shambulizi dhidi ya meli ya mafuta ya SABITI
Oct 22, 2019 11:19Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameutaka umoja huo ushiriki katika uchunguzi kuhusu shambulizi lililolenga meli ya mafuta ya Iran inayojulikana kwa jina la SABITI.