-
Rais Rouhani: Tuko tayari kuzungumza na Marekani iwapo itaondoa vikwazo
Oct 14, 2019 11:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuanzisha mazungumzo ya nyuklia na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani, iwapo White House itaondoa vikwazo vya kidhulma ilivyoliwekea taifa la Iran.
-
Bunge la Iran lalaani mashambulizi ya Uturuki dhidi ya Syria
Oct 14, 2019 08:38Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wametoa taarifa wakilaani mashambulizi ya jeshi la Uturuki dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kutetea watu wanaodhulumiwa kote duniani.
-
WHO: Nchi za dunia ziige Iran katika kutoa huduma za afya
Oct 14, 2019 04:25Shirika la Afya Duniani WHO limeziasa nchi nyingine duniani kuwa na mfumo mzuri wa tiba na huduma za afya kama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Pakistan
Oct 14, 2019 04:15Ayatullah Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Imran Khan Waziri Mkuu wa Pakistan na ujumbe alioandamana nao ziarani hapa Tehran, ameutaja uhusiano wa Iran na Pakistan kuwa ni mkubwa na wa kidugu.
-
Mwanasayansi wa Iran anashikiliwa Marekani kinyume cha sheria
Oct 13, 2019 23:25Mwanasayansi Muirani, Profesa Masoud Suleimani, anashikiliwa nchini Marekani kwa muda wa mwaka mmoja sasa kinyume cha sheria.
-
Kiongozi: Kumalizika kwa njia sahihi vita Yemen kutakuwa na taathira chanya katika eneo
Oct 13, 2019 13:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa muda sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha mpango wa nukta nne wa kumaliza vita nchini Yemen na kuongeza kuwa: "Iwapo vita hivyo vitamalizika kwa njia sahihi, basi jambo hilo linaweza kuwa na taathira chanya katika eneo.
-
Ayatullah Khamenei: Tunafuata nyayo za Sayyidu Shuhadaa, hatutasalimu amri mbele ya Marekani
Oct 13, 2019 08:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa kwa mujibu wa falsafa ya harakati ya Bwana wa Mashahidi (Imam Hussein bin Ali (as)), taifa la Iran linakutambua kupambana na kambi ya ukafiri, uzayuni na Marekani kuwa ni wajibu wake, na kutosalimu amri kwa Iran mbele ya Marekani kunafanyika kwa msingi huo.
-
Rais Rouhani: Tehran na Islamabad zinataka masuala ya kieneo yatatuliwe kwa njia ya mazungumzo
Oct 13, 2019 08:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran na Islamabad zinaamini kuwa, masuala ya kieneo yanapaswa kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo baina ya nchi mbalimbali.
-
Zarif: Iran inapinga silaha za nyuklia kwa kuwa zimeharamishwa na Uislamu
Oct 13, 2019 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali silaha za nyuklia kwa kuwa matumizi yake yameharamishwa na sheria za Uislamu.
-
Shambulio dhidi ya meli ya mafuta ya Iran katika Bahari Nyekundu; njama za kuvuruga usalama wa safari za meli
Oct 12, 2019 10:22Meli ya mafuta ya Iran ya SABITY jana asubuhi ilishambuliwa kutokea pande mbili wakati ilipokuwa ikipita katika Bahari Nyekundu.