-
Hujjatul Islam Akbari: Kupunguza uwajibikaji wa Iran katika JCPOA ni jibu kwa ahadi tupu za Wamagharibi
Sep 06, 2019 08:18Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameashiria uamuzi wa Iran wa kuchukua hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamaili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA na kusema: "Uamuzi huu ni jibu kwa ahadi tupu za Wamagharibi katika utekelezaji wa JCPOA"
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani walenga watu wa kawaida
Sep 06, 2019 07:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi ya nchi huru unalenga kuwadhuru watu wa kawaida."
-
Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40
Sep 06, 2019 03:43Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika zaidi ya maeneo elfu sita katika Iran ya Kiislamu na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
-
Barua ya Zarif kwa Mogherini: Utekelezaji wa hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wa Iran ndani ya JCPOA
Sep 06, 2019 03:21Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku amemuandikia barua Federica Mogherini Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya na kumueleza juu ya kuanza kutekelezwa na Iran hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kutekelezwa awamu ya tatu; radiamali ya Iran ya kuchezea fursa madola ya Ulaya
Sep 05, 2019 03:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa agizo la kutekelezwa hatua ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makuubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Mousavi: Matamshi ya uhasama hayafiki popote
Sep 05, 2019 02:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa matamshi ya uhasama ya Brian Hook Mjumbe Maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran hayatafika popote.
-
Rais Rouhani: Awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji katika JCPOA itaanza kesho Ijumaa
Sep 05, 2019 00:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameatangaza kuwa, awamu ya tatu ya Iran kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA itaanza kutekelezwa kesho Ijumaa.
-
Baqeri: Utawala wa Kizayuni unazidi kudhoofika
Sep 05, 2019 00:04Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Vyote vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kambi ya muqawama (mapambano ya Kiislamu) inazidi kusonga mbele katika kuudhoofisha utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo."
-
Rais Rouhani: Iran itatekeleza awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA
Sep 04, 2019 08:41Rais Hassan Rouhani amesema, mazungumzo na nchi za Ulaya bado hayajafikia mwafaka kamili; na kwa msingi huo Iran itachukua hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wa kutekeleza majukumu yake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Uimarishaji wa wastani wa uhusiano; mhimili wa udiplomasia wa Iran
Sep 04, 2019 06:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwa na lengo la kukabiliana na vita vya kiuchumi vya Marekani ina machaguo kadhaa.