-
Tarehe 13 Aban, Siku ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa
Nov 03, 2018 09:57Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.
-
Ijumaa tarehe Pili Novemba 2018
Nov 02, 2018 02:53Leo ni ijumaa tarehe 23 Safar 1440 Hijria sawa na Novemba Pili, 2018.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)
Oct 27, 2018 07:40Haram na makaburi matakatifu ya Mtume Muhammad (saw) na Maimamu maasumu wa nyumba yake tukufu (as) katika kipindi chote cha historia ya Uislamu ya zaidi ya miaka 1400, yamekuwa kimbilio la nyoyo zenye hamu kubwa za waumini na wafuasi wao.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (11)
Oct 27, 2018 06:58Imam Hussein bin Ali (as) na wafuasi wake 72 waliuawa shahidi katika tukio la Ashuraa mwaka 61 Hijria na watu wa familia ya Mtume wakachukuliwa mateka na jeshi katili la Yazid bin Muawiya alasiri ya siku hiyo.
-
Siasa za "kukwepa-kwepa" za Bin Salman na suala la kuangaliwa upya muundo wa shirika la kijasusi la Saudia
Oct 26, 2018 23:20Kikao cha kwanza cha kamati iliyopewa jina la kamati ya kuangalia upya muundo wa taasisi ya kijasusi ya Saudi Arabia kilifanyika juzi Alkhamisi chini ya uenyekiti wa Mohammed bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (10)
Oct 23, 2018 08:36makala hii ya Maswali Kuhusu Tukio la Ashura leo itajibu swali kwamba, ni kwa nini hadithi zilizopokewa kutoka kwa Mtume Muhammad (saw) na Maimamu watoharifu katika kizazi chake zimesisitiza sana suala la kuzuru kaburi la Imam Hussein bin Ali (as)?
-
Kususiwa kikao cha kiuchumi cha Riyadh; mshale wa mwisho wa kuangamiza ndoto za Aal Saud
Oct 19, 2018 21:40Wimbi la mashirika makubwa makubwa, vigogo wa kimataifa na vyombo vikubwa vya habari la kususia kikao cha uwekezaji cha Riyadh, Saudi Arabia, limechukua mkondo mpya hivi sasa.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (9) + Sauti
Oct 15, 2018 08:07Maombolezo ya Muharram katika kila jamii huambatana na tamaduni, mila na taratibu za jamii hiyo. Lakini jambo la msingi na muhimu hapa ni kwamba utamaduni na mila hizo za maombolezo hazipasi kwenda kinyume na mafundisho ya Kiislamu na wala hazipasi kuruhusiwa kuvunjia heshima dini wala kupotosha ujumbe wa Ashura.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (8) + Sauti
Oct 15, 2018 08:00Katika siku za mwanzoni mwa mwezi Muharram Waislamu hususan wafuasi na wapenzi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) katika maeneo mbalimbali ya dunia huwa katika siku za majonzi na huzuni ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa mtukufu huyo, Imam Hussein bin Ali (as) ndugu, watoto na masahaba zake huko Karbala.
-
Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (7) + Sauti
Oct 15, 2018 06:58Miongoni mwa maswala yanayoulizwa kuhusu harakati ya Imam Hussein bin Ali (as) na tukio la Ashura ni kwamba, je, yote tunayoyasikia hii leo kuhusu tukio hilo la mauaji ya Imam Hussein na masabaha zake katika medani ya Karbala nchini Iraq mwaka 61 Hijria ni sahihi, au kuna uwezekano baadhi yamepotoshwa?