-
Afisa wa UN: Israel inawasababishia njaa kwa makusudi watu wa Gaza
Jul 23, 2025 00:20Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu anasema utawala wa Israel unawaua kwa makusudi watu wa Gaza na kupuuza maagizo ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ya kusitisha jinai zake.
-
Wanajeshi wa Israel wawauwa shahidi Wapalestina 77 katika siku moja pekee
Jul 22, 2025 10:14Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa: Katika muda wa saa 24 zilizopita, raia 77 wa Palestina wameuawa shahidi na wengine 376 kujeruhiwa katika mashambulizi ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
WFP: Theluthi moja ya watu wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro wa Israel
Jul 22, 2025 06:35Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa, theluthi moja ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza hawajala kwa siku kadhaa kutokana na mzingiro unaoendelea kuwekwa na utawala wa kizayuni wa Israel kwenye eneo hilo la Palestina.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unatumia njaa kama silaha dhidi ya watu wa Gaza?
Jul 22, 2025 04:07Utawala wa Kizayuni katika kuendeleza vitendo vyake vya kinyama, unaendelea kuiwekea vikwazo Gaza, jambo ambalo limesababisha utapiamlo na hali mbaya kwa maelfu ya Wapalestina.
-
Shambulio la kombora la Yemen lailazimisha Israel ifunge anga yake
Jul 22, 2025 02:19Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, Israel imelazimika kufunga uwanja wa ndege wa Ben Gurion na anga yake katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kufuatia kuvurumishwa kwa kombora kutoka Yemen.
-
Hamas yataka kukomeshwa sera ya Israel ya kuwaua Wapalestina kwa njaa
Jul 22, 2025 01:38Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha taarifa ya pamoja ya Uingereza na nchi nyingine 24, zikitaka kusitishwa mara moja vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza na kuingizwa haraka misaada ya kibinadamu katika ukanda huo uliozongirwa.
-
Vyombo vya habari vya Israel: Wanajeshi wanajivunja mikono na miguu ili kukwepa vita vya Gaza
Jul 22, 2025 01:04Wataalamu na wanaharakati wa Israel wanaamini kuwa vita dhidi ya Ukanda wa Gaza vinaendelea bila lengo, huku kukiwa na maswali mazito kuhusu uwezo wa jeshi la Israel kuiangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas). Pia wametaka kuwepo suluhisho la kisiasa, ambalo wamesisitizia kuwa serikali ya Israel inalikwepa.
-
Wanajeshi wawili wa Israel watiwa mbaroni nchini Ubegliji kwa tuhuma za uhalifu wa kivita
Jul 22, 2025 01:02Wanajeshi wawili wa utawala wa kizayuni wa Israel wametiwa mbaroni na vyombo vya usalama nchini Ubelgiji kufuatia mashtaka yaliyowasilishwa na Taasisi ya Hind Rajab Foundation (HRF).
-
WHO yasikitishwa na mashambulizi ya Israel dhidi ya wahudumu wake Gaza
Jul 22, 2025 00:54Jeshi la Israel lilishambulia mara tatu makazi ya wafanyakazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika Ukanda Gaza, pamoja na ghala lake kuu jana Jumatatu , amesema mkuu wa shirika hilo la Umoja wa Mataifa.
-
Israel yaendeleza mashambulizi ya anga na mizinga Gaza, watoto wachanga wanakufa kwa njaa
Jul 21, 2025 10:03Mashambulio ya anga na ya mizinga ya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza yanaendelea huku janga la njaa likizidi kushadidi siku baada ya siku na kuua Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo.