-
Amnesty International: Israel inatumia njaa kama silaha ya vita
Jul 03, 2025 08:33Shirika la Mpango wa Chakula Duniani na Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International yameonya kuhusu hali mbaya ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kubainisha kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel umekuwa ukitumia njaa kama wenzo na silaha ya kivita.
-
Sheikh Issa Qassim: Kumtishia Ayatullah Khamenei ni kuuvunjia heshima Umma mzima wa Kiislamu
Jul 03, 2025 04:27Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia wa nchini Bahrain amelaani vikali kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kumvunjia heshima na kumtishia Ayatullahil udhma Sayyid Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Sheikh Naim Qassim: Israel ni tishio la kistratejia kwa usalama wa eneo na dunia; Hizbullah haitaweka chini silaha
Jul 03, 2025 04:19Sheikh Naim Qassem, kiongozi wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah ameeleza kuwa Israel si tu kuwa inaikalia kwa mabavu Palestina bali ni tishio la kimkakati kwa Lebanon, Misri, Syria, Jordan, na ni tishio pia kwa amani na usalama wa kanda hii na dunia nzima kwa ujumla.
-
Askari 20 wa Kizayuni waaangamizwa katika muda wa mwezi mmoja pekee
Jul 03, 2025 01:00Gazeti la Kizayuni la Yediot Aharonot limeandika katika ripoti yake kuwa: Mwezi uliopita wa Juni Israel imeshuhudiwa kuawa idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Gaza mwaka huu.
-
Makumi ya wafanyakazi wa huduma za uokoaji na raia wauawa shahidi katika mashambulizi mtawalia ya Israel huko Gaza
Jul 03, 2025 00:31Duru za kitiba na za ndani ya Ukanda wa Gaza zimetangaza kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni jana alasiri lilitekeleza mashambulizi mapya katika maeneo yenye idadi kubwa ya watu ambapo wakimbizi wa Kipalestina walikuwa wamepata hifadhi na kuuwa makumi ya watu.
-
Marekani yaiuzia Israel silaha zaidi kuendeleza mauaji ya kimbari Gaza
Jul 02, 2025 08:28Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha yenye thamani ya dola milioni 510 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwa ni muendelezo wa uungwaji mkono wa kijeshi wa Washington wakati mauaji ya kimbari yanayoendeshwa na Israel dhidi ya watu wa Gaza yanaingia mwezi wa 21.
-
Hizbullah: Wavamizi wa Quds hawatakuwa na nafasi kusini mwa Lebanon
Jul 01, 2025 22:41Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa na nafasi katika ardhi za kusini mwa Lebanon.
-
UN: Israel iruhusu kuingia Gaza mahitaji ya dharura kwa ajili ya watu wa eneo hilo
Jul 01, 2025 08:58Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Israel inapasa kurahisisha na kuruhusu kuingia Gaza mahitaji ya dharura kwa ajili ya watu wa eneo hilo kupitia vivuko vilivyopo ili misaada ya haraka iwafikie wakazi wa ukanda huo.
-
Hamas: Muqawama utaendelea kukabiliana na mashambulizi ya Israel
Jul 01, 2025 08:55Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameonya kuwa kuendelea mashambulizi na hujuma za Israel kunazidisha mapambano na muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya maghasibu Wazayuni.
-
Seneta Nasir Abbas: Pakistan haitakaa kimya ikiwa Marekani na Israel zitamlenga Ayatullah Khamenei
Jul 01, 2025 03:30Seneta wa Pakistan amelaani tishio la Marekani na Israel la kumlenga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei akisema kuwa suala hilo llitaibua majibu kutoka kwa mataifa yote ya Kiislamu ikiwemo Pakistan.