-
Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med: 94% ya waliouliwa na mashambulio ya Israel Ghaza ni raia
Apr 29, 2025 03:44Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mediterania, Euro-Med Human Rights Monitor limeyatoa maanani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba majeshi yake yanapambana na wapiganaji wa Hamas huko Ghaza likisititiza kuwa kwa uchache asilimia 94 ya waathirika wa mashambulio ya kinyama ya utawala huo ni raia.
-
Hizbullah ya Lebanon yaeleza kwa msisitizo: Hatutasalimu amri mbele ya njama za Israel na Marekani
Apr 29, 2025 03:43Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amezungumzia shambulio la hivi karibuni la utawala wa Kizayuni kwenye viunga vya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na akasema: "shambulio hili limefanywa kwa idhini na uungaji mkono wa Marekani."
-
ICJ yaanza kusikiliza hatua za kibinadamu zinazopaswa kutekelezwa na Israel
Apr 28, 2025 23:14Mwanadiplomasia wa Palestina jana Jumatatu aliiambia Mahakama ya Kilele ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inawaua, inawafurusha raia wa Kipalestina na kuwashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu huko Gaza.
-
Watoto 1,000 wauawa Palestina katika kipindi cha wiki moja
Apr 28, 2025 07:54Watoto wasiopungua 1,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika kipindi cha juma moja kufuatia wimbi jipya la hujuma na unyaama wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Makumi ya wahamiaji wa Kiafrika wauawa kwa shambulio la Marekani
Apr 28, 2025 07:53Takriban wahamiaji 68 wa Afrika wameripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la anga la Marekani dhidi ya kituo kimoja kinachodhibitiwa na Harakati ya Ansarulllah ya Yemen kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa: Gaza itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika siku za usoni
Apr 27, 2025 22:55Umoja wa Mataifaa aumetangaza kuwa, eneo laa Ukanda waa Gazaa litakabiliwa na ahali mbaaya zaidi ya kibinadamu katika siku za usoni na kwamba, kuna haja ya kuchukuliwa hatua kuzuia kutokea hilo.
-
Waandamanaji Tel Aviv watishia kumuua Netanyahu
Apr 27, 2025 09:45Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo baada ya kufanyika maandamano mengine dhidi yake huku waandamanaji wakitishia kumuua.
-
Wapalestina wengine 51 wauawa shahidi katika hujuma ya kinyama ya Israel
Apr 27, 2025 09:05Kwa akali Wapalaestina 50 wameuawa shahidi katika mashambulio ya kinyama ya karibuni zaidi kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.
-
OIC yalaani hatua ya Marekani dhidi ya shirika la UNRWA
Apr 27, 2025 08:41Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina (UNRWA).
-
Mjibizo wa OIC kwa hatua ya Marekani ya kuiondolea UNRWA kinga ya kisheria
Apr 27, 2025 06:15Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema, imesikitishwa na hatua ya Marekani ya kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA na kuitaka Washington iutafakari upya uamuzi wake huo na kurejesha ufadhili wake wa kifedha kwa shirika hilo.