-
HAMAS yalaani mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni Jenin, Ukingo wa Magharibi
Feb 03, 2025 03:30Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23
Feb 03, 2025 02:24Mazishi ya kiongozi wa muda mrefu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yatafanyika Februari 23, miezi kadhaa tangu alipouawa shahidi katika shambulio la kigaidi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Serikali ya Gaza: Zaidi ya Wapalestina elfu 61 wameuawa shahidi, familia 2,092 zimefutwa kabisa
Feb 03, 2025 00:04Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali huko Gaza imesema kuwa vita vya maangamizi vilivyoanzishwa na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza vimeua shahidi zaidi ya Wapalestina 61,000, na kuwalazimisha wengine zaidi ya milioni mbili kuwa wakimbizi, na kwamba baadhi yao walilazimika kukimbia zaidi ya mara 25, katika maafa ambao hayajawahi kutokea katika historia.
-
Hali ya hatari Myanmar yarefushwa, Waislamu wa Rohingya wanaendelea kuteseka
Feb 02, 2025 22:58Utawala wa kijeshi wa Myanmar umerefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi sita zaidi, siku moja kabla ya kuadhimisha mwaka wa nne wa mapinduzi nchini humo.
-
Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Feb 02, 2025 07:23Nchi kubwa za Kiarabu zimepinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.
-
Ripoti: Wazayuni wanawatesa mateka wa Kipalestina kabla ya kuwaachia huru
Feb 02, 2025 04:12Baada ya kumalizika awamu ya nne ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Muqawama wa Palestina, duru za habari zimearifu kuwa baadhi ya mateka wa Kipalestina wamejeruhiwa kutokana na kuteswa kabla ya kuachiwa huru.
-
Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka + Video
Feb 01, 2025 23:22Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Muqawama mpya wa Syria waanza rasmi, washambulia jeshi la Israel
Feb 01, 2025 23:22Kundi moja la Muqawama la Syria limetoa taarifa muhimu ya kijeshi kuhusiana na shambulio la asubuhi ya jana Jumamosi dhidi ya wanajeshi wa Israel katika mashamba ya Quneitra kusini mwa Syria na kutangaza kuanza rasmi Muqawama wa kukomboa ardhi za nchi hiyo zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Hamas: Tangazo la Marekani la kuwaondoa wakazi wa Gaza ni ushirikiano katika uhalifu
Feb 01, 2025 09:27Sami Abu Zuhri, kiongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), amesema kuwa tangazo la mara kwa mara la Marekani la kuwatimua wakazi wa Ukanda wa Gaza katika eneo hilo kwa kisingizio cha kulijenga upya ni kielelezo cha kushiriki Washington katika jinai za utawala uo, baada ya Israel kufanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miezi 15.
-
Hamas yawaachia huru mateka 3 wa Israel, mkabala wa Wapalestina 183
Feb 01, 2025 04:28Utawala wa Kizayuni wa Israel baadaye leo unatazamiwa kuwaachia huru mateka 183 wa Kipalestina, mkabala wa kuachiliwa Wazayuni watatu, katika awamu ya nne ya mabadilishano ya mateka katika Ukanda wa Gaza.