-
Rais wa Iraq: Al-Hashd al-Shaabi ni sehemu ya vikosi vya usalama nchini
Jan 26, 2025 03:31Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu na ni sehemu ya askari usalama wa Iraq.
-
Hamas: Ukingo wa Magharibi utakuwa uwanja ujao wa vita kati ya Israel na muqawama
Jan 26, 2025 03:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa inaamini kuwa eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na Israel litakuwa uwanja ujao wa makabiliano makubwa kati ya utawala wa Israel na muqawama wa Palestina.
-
Mateka 200 wa Kipalestina waachiliwa huru; shangwe na furaha zatawala
Jan 25, 2025 23:31Wapalestina 200 waliokuwa wakishikiliwa katika magereza ya utawala haramu wa Israel wameachiliwa huru ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya ubadilishanaji mateka baina ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Uchunguzi wa maoni: Asilimia 63 ya Wazayuni wanataka Netanyahu ajiuzulu
Jan 25, 2025 22:52Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo yanayomtaka ajiuzulu hasa baada ya Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya Gaza.
-
Israel yaifungisha virago UNRWA, yataka iondoke Quds kufikia Januari 30
Jan 25, 2025 08:04Utawala wa Kizayuni wa Israel umesema kuwa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) lina hadi mwisho wa mwezi huu wa Januari kuondoka katika mji mtukufu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS kuwaachia askari 4 wanawake wa Israel kwa Wapalestina 200 akiwemo kamanda wa Muqawama
Jan 25, 2025 03:09Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kamanda maarufu wa Palestina ataachiliwa leo ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya pili ya wafungwa na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza kuanza kutekelezwa wiki iliyopita.
-
Israel haitaondoa askari wake kusini mwa Lebanon kama ilivyoafikiwa, Marekani yaiunga mkono
Jan 25, 2025 02:44Vyombo vya habari vya Kiebrania vimeripoti kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel halitaondoka kusini mwa Lebanon utakapomalizika muhula uliowekwa wa siku 60 kesho Jumapili kulingana na makubaliano ya kusitisha vita yaliyofikiwa kati ya Israel na harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah.
-
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa UN: Israel lazima iwajibishe kwa kushambulia mji wa Jenin
Jan 24, 2025 23:28Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake juu ya operesheni za jeshi la Israel katika Ukingo wa Magharibi, ukiwemo mji wa Jenin.
-
Sababu gani zimepelekea kuongezeka mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan?
Jan 24, 2025 08:51Katika siku za hivi karibuni, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na walowezi dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan yameongezeka.
-
Ansarullah ya Yemen: Marekani haina haki ya kuzihukumu nchi zingine
Jan 24, 2025 05:49Harakati ya Ansarullah ya Yemen iimetoa radiamali kwa hatua ya Marekani ya kuiweka Yemen katika orodha ya magaidi na kubainisha kwamba, Washington ambayo inahusika na mauaji ya Wapalestina na wasio na hatia haina haki ya kuzihukumu nchi zingine.