-
Wanamgambo wa HTS Syria washambulia waandamanaji wanaolaani kuvunjiwa heshima eneo takatifu
Dec 26, 2024 08:39Maandamano yamezuka kote nchini Syria kuhusiana na wanamgambo ambao wamevunjia heshima eneo takatifu la Waislamu wa madhehebu ya Alawi huko Aleppo, huku wanamgambo yenye silaha wa kundi la Hay'at Tahrir al-Sham (HTS) wakiwafyatulia risasi waandamanaji.
-
Ansarullah yatangaza kukamatwa maajenti wa Mossad na CIA nchini Yemen
Dec 26, 2024 07:34Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeitangaza kwamba imekamata idadi kadhaa ya "majasusi waliokuwa wakifanya kazi kwa maslahi ya shirika la ujasusi la Israel, Mossad, na shirika la ujasusi la Marekani, CIA."
-
Yemen yashambulia Israel kwa kombora la pili la hypersonic
Dec 26, 2024 00:41Jeshi la Yemen limetumia kombora la hypersonic kulenga ngome ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ikiwa ni katika kuunga mkono Wapalestina wa Gaza.
-
Israel yawaua waandishi wa habari 5 wa Kipalestina mbele ya hospitali ya Al-Awda huko Gaza
Dec 26, 2024 00:39Mamlaka ya afya ya Gaza inasema mashambulizi mapya ya Israel yameua watu kadhaa, wakiwemo waandishi wa habari watano, na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina.
-
Maulamaa wa Yemen wautaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya Wazayuni na Marekani
Dec 25, 2024 00:18Maulamaa wa Yemen wameutaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isreal na Marekani huko Gaza, Yemen na pia waungaji mkono wa kigaidi.
-
Kuangushwa ndege ya kivita ya Marekani ya F-18 ni ishara ya kuchanganyikiwa katika mashambulizi ya Yemen
Dec 25, 2024 00:06Kuangushwa kwa ndege ya kivita ya F-18 ya Marekani katika shambulio la angani la hivi karibuni nchini Yemen, kumepelekea kuibuke shaka kuhusu uwezo wa Marekani wa kudhibiti anga ya Marekani na uwezo wake wa kukabiliana na mashambulizi ya makombora na ndege za kivita zisizo na rubani kutoka Yemen.
-
Israel yakishambulia kituo cha ulinzi wa raia katika mji wa Gaza
Dec 25, 2024 00:05Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimekishambulia kituo cha ulinzi wa raia katika mji wa Gaza.
-
Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza
Dec 25, 2024 00:05Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa imekuwa vigumu kufikisha hata msaada mdogo kwa raia wa Palestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Oxfam: Katika muda wa miezi miwili na nusu malori 12 tu ya chakula na maji yamefika kaskazini ya Ghaza
Dec 24, 2024 08:56Shirika la misaada ya kibinadamu la Uingereza la Oxfam limetangaza kuwa, katika muda wa miezi miwili na nusu, ni malori 12 pekee yamesambaza chakula na maji katika eneo la kaskazini mwa Ghaza na kutahadharisha kuwa hali ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina ni mbaya sana.
-
Al-Qassam yawaangamiza askari watatu wa jeshi la Kizayuni kaskazini mwa Ghaza
Dec 24, 2024 08:20Wapiganaji wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wametangaza kuwa wametekeleza operesheni tata kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza na kufanikiwa kuwaangamiza wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel.