-
Mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza; Israel inawachoma moto wakimbizi kwenye mahema yao
Dec 07, 2024 22:58Katika kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wakazi wa Ukanda wa Gaza, Shirika la Haki za Kibinadamu la Ulaya na Mediterania limetangaza kuwa jeshi la Kizayuni limeteketeza kwa moto kundi la wakimbizi wa Kipalestina wakiwa hai katika eneo la Khan Yunis.
-
Watumiaji wa Iran wa mtandao wa kijamii wa X: Kunyongwa Netanyahu ni hatua ya kwanza ya kupatikana uadilifu
Dec 08, 2024 08:28Parstoday- Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kunyongwa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel, yalikuwa na taathira kubwa miongoni mwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X".
-
Mabeberu wafanya njama za kuigawa vipandevipande Syria
Dec 07, 2024 08:08Mmoja wa viongozi wa muungano wa Fat'h wa nchini Iraq amesema kuwa, kuna maelfu ya magaidi wametoroka jela nchini Syria na hiyo ni sehemu ya njama kubwa za madola ya kibeberu za kuligawa vipandevipande taifa hilo la Kiarabu.
-
Afisa wa Hamas asema mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza yameanza tena
Dec 07, 2024 03:47Afisa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas amesema wapatanishi wa kimataifa wameanza tena mazungumzo na harakati hiyo ya ukombozi wa Palestina na Israel kuhusu kusitisha mapigano Gaza.
-
Wayemen wasema hawababaishwi na vitisho vya Marekani, wataunga mkono Wapalestina
Dec 07, 2024 03:38Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano mapya ya kila wiki katika mji mkuu Sana'a na miji kadhaa nchini humo kusisitiza uungaji mkono wao kwa Wapalestina wanaokabiliwa na vita vya mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel.
-
Israel yaishambulia Hospitali Ghaza mara kadhaa, yaua watu 30 kati ya waliokuwemo ndani
Dec 06, 2024 10:23Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeshambulia mara kadhaa hospitali ya Kamal Adwan na majengo kadhaa ya karibu ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza, na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 30 na kuwajeruhi wengine wengi.
-
Shambulio la magaidi Halab Syria kwa msaada wa Uturuki na Israel
Dec 06, 2024 09:33Qusay Abdul Jabbar al-Dahhak, mwakilishi wa kukdumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ameliambia Baraza la Usalama la umoja huo kwamba nchi yake imevamiwa na magenge ya kigaidi na kuna ushahidi wa kutosha unaoonesha kwamba kuna mikono ya nje ya kieneo na kimataifa ndiyo inayoyasaidia magenge ya kigaidi kufanya jinai nchini Syria.
-
Waziri wa Ulinzi: Jeshi la Syria bado liko Hama
Dec 06, 2024 08:51Waziri wa Ulinzi wa Syria, Luteni Jenerali Ali Mahmoud Abbas, amesema kuwa hali ya mambo katika mji wa Hama imedhibitiwa na kwamba kusonga mbele kwa awali magaidi wa Kitakfiri katika mji huo kulitokana na mbinu za muda za vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo
-
HAMAS: Netanyahu ndiye anayewaua mateka wa Kizayuni huko Ghaza
Dec 06, 2024 03:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeendelea kumlaumu Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na kusisitiza kuwa yeye ndiye aliyefanya mauaji ya makumi ya mateka wa Kizayuni waliokuwa wanashikiliwa katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hali ya mbaya ya maafa ya Gaza sambamba na kimya cha wanaodai kutetea ubinadamu
Dec 06, 2024 00:26Katika msimamo wake wa karibuni, Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea hali ya Ukanda wa Gaza kuwa ni "ya kutisha na ya maafa."