-
Sheikh Naim Qassim: Muqawama uko imara na umepata ushindi
Dec 06, 2024 00:21Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, muqawama ukitegemea nguvu na uwezo wa wapiganaji wake umepata ushindi katika vita dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wazayuni wafanyia istihzai vitisho vya Trump dhidi ya Hamas
Dec 05, 2024 23:08Gazeti la Kizayuni la Haaretz lilmefanyia istihzai vitisho vya Donald Trump dhidi ya Hamas na eneo zima la Asia Magharibi kwa sababu ya mateka wa Kizayuni walioko mikononi mwa HAMAS.
-
AI: Israel inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina
Dec 05, 2024 04:18Kuna ushahidi "usio na shaka" kuwa Israel inafanya vitendo vya mauaji ya kimbari kwa "dhamira ya wazi ya kuwaangamiza Wapalestina."
-
Iran yasema wadhamini wa mazungumzo ya amani ya Syria watakutana Qatar
Dec 05, 2024 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ametangaza kuwa wanadiplomasia wakuu wa nchi tatu zilizodhamini mchakato wa amani wa Astana watakutana nchini Qatar kujadili kuzuka upya kwa ugaidi nchini Syria.
-
Magaidi 2,000 wauawa huko Syria katika operesheni za kijeshi
Dec 04, 2024 23:39Duru za Syria zinasema kuwa karibu magaidi 2,000 wakufurishaji wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni wameuawa kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu katika mashambulio ya pamoja yaliyofanywa na jeshi la Syria kwa kushirikiana na Russia.
-
Watu milioni 1.5 ni walemavu nchini Afghanistan kutokana na mlipuko wa mabaki ya zana za kivita
Dec 04, 2024 23:31Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) umetangaza kuwa, takriban watu milioni 1.5 nchini Afghanistan wanaishi na ulemavu mkubwa.
-
Jeshi la Syria lakomboa maeneo muhimu ya mji wa kaskazini wa Hama; magaidi 1,600 waangamizwa
Dec 04, 2024 09:27Jeshi la Syria limeripoti kuwa limesafisha maeneo yote ya mji wa kaskazini wa Hama na kuwafurusha magaidi wa kitakfiri katika maeneo hayyo.
-
Utawala wa Kizayuni wakiri kupata hasara kubwa kufuatia mashambulizi ya Hizbullah
Dec 04, 2024 08:48Mkuu wa kitongoji kimoja cha Wazayuni ameeleza kuwa zaidi ya asilimia 60 ya nyumba ndani ya kitongoji hicho zimeharibiwa na kubomoka kufuatia mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Vikosi vya anga vya Syria na Russia vyafanya mashambulio makubwa zaidi tangu kuibuka tena ugaidi
Dec 04, 2024 03:48Jeshi la anga la Syria na la washirika wake wa Russia yamefanya mashambulizi makali zaidi dhidi ya kambi na mikusanyiko ya magaidi hao wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni tangu hujuma za magaidi zilipoibuka upya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS yajibu vitisho alivyotoa Trump kuhusu mateka wa Kizayuni wanaoshikiliwa Ghaza
Dec 04, 2024 03:12Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa jibu kwa ujumbe wa vitisho uliotolewa na rais mteule wa Marekani kuhusu mateka wa Kizayuni wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Ghaza na kusisitiza kuwa, ni bora Trump atume salamu zake hizo kwa Netanyahu.