-
Sababu na malengo ya utawala wa Kizayuni katika kuvunja mara kwa mara makubaliano ya kusitisha vita Lebanon
Dec 04, 2024 02:56Hata kabla ya mapatano ya kusitishwa vita nchini Lebanon kutimiza wiki moja, utawala wa Kiyahudi wa Israel umekiuka makubaliano hayo mara kadhaa.
-
Gaza inaongoza kwa Watoto walemavu huku Israeli ikiendeleza mauaji ya kimbari
Dec 03, 2024 23:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres amesema eneo la Gaza hivi sasa linaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya watoto waliokatwa viungo vya mwili hasa mikono na miguu kutokana na vita vya Israel dhidi ya eneo hilo, na wengi wanapata upasuaji bila nusu kaputi.
-
Kukiri Israel juu ya kutekeleza ufutaji kizazi katika Ukanda wa Gaza
Dec 03, 2024 23:15Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesisitiza kwa mara nyingiine tena kwamba, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Gaza, akimshutumu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."
-
Al Mayadeen: Wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi huko Syria
Dec 03, 2024 08:42Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa wanajeshi wa Ukraine wanashirikiana na magaidi dhidi ya serikali ya syria.
-
Ugaidi wa kimataifa nchini Syria
Dec 03, 2024 04:08Matukio ya siku za hivi karibuni nchini Syria kwa mara nyingine tena yameangazia suala la ugaidi wa kimataifa katika nchi hiyo.
-
Syria yakomboa barabara kuu na maeneo muhimu, yaangamiza makumi ya magaidi
Dec 03, 2024 02:57Jeshi la Syria limekomboa barabara kuu karibu na mji wa Hama pamoja na miji na vijiji vyote vinavyoizunguka barabara hiyo, na kuangamiza makumi ya magaidi wakufurishaji walioanzisha wimbi jipya la jinai katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
HAMAS: Mateka Wazayuni 33 wameuawa kutokana na "ukichwangumu wa mhalifu wa kivita Netanyahu"
Dec 03, 2024 00:06Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, mateka Wazayuni 33 wanaoshikiliwa na harakati hiyo katika Ukanda wa Ghaza wameuawa tangu utawala ghasibu wa Israel ulipoanzisha vita vinavyoendelea kwa takriban miezi 14 sasa dhidi ya eneo hilo uliloliwekea mzingiro.
-
Jenerali wa Israel wa kusimamia faili la Iran atishia kujiuzulu
Dec 02, 2024 23:20Jenerali wa ngazi ya juu wa jeshi la Israel ambaye anahudumu kama mkuu wa "Kurugenzi ya Mikakati ya Duara la Tatu," ambayo ina jukumu la kutunza mafaili ya masuala ya kijeshi ya Iran ndani ya utawala wa Kizayuni, ametangaza nia yake ya kujiuzulu.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lataka kukomeshwa vita dhidi ya Gaza
Dec 02, 2024 03:36Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetoa mwito wa kusitishwa mara moja uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Zaidi ya Wapalestina 415,000 waliokimbia makazi yao wako katika shule zetu
Dec 01, 2024 23:13Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, zaidi ya watu 415,000 waliokimbia makazi kwa sasa wanapata hifadhi katika majengo yake ya shule huko Gaza, huku mamia ya maelfu ya wengine wakiishi "katika hali mbaya zaidi katika makazi ya muda."