-
Mwandishi wa Kiyahudi Mpinga Uzayuni: Netanyahu ni saratani
Apr 25, 2026 11:08Alon Mizrahi, mwandishi wa habari wa Kiyahudi anayepinga Uzayuni, ameandika katika ujumbe wake ulioashiria taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu uvimbe wa saratani wa Benjamin Netanyahu kwamba: “Je, saratani yenyewe inaweza kuwa na saratani?”
-
Aoun: Lengo la Israel katika kuwaua waandishi wa habari ni kuficha uhalifu wake
Apr 25, 2026 04:55Rais wa Lebanon ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji ya mwandishi wa habari wa nchi hiyo na kujeruhiwa mwandishi mwingine wa habari katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa Lebanon, akitangaza kwamba lengo la uhalifu huu ni jitihada za utawala wa Israeli za kutaka kuficha uhalifu wake.
-
Hamas: Uhalifu Mpya Kaskazini mwa Gaza Unaonyesha Kutokuwa na Uwezo wa Bodi ya Amani
Apr 25, 2026 04:52Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kwamba mauaji ya kutisha yaliyofanywa na jeshi utawala vamizi la Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, ambayo yamewalenga moja kwa moja watoto, ni kielelezo kipya cha kuendelea vita vya mauaji ya kimbari na maangamizi ya kizazi katika maeneo mbalimbali ya Ukanda huo.
-
Onyo la Yemen: Hakuna atakayefungua Lango Bahari la Bab el Mandeb likifungwa
Apr 19, 2026 10:34Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amemhimiza Rais wa Marekani Donald Trump kujiepusha na maamuzi ya uchochezi na kuheshimu haki za mataifa ya Kiislamu, akimwonya yeye pamoja na washirika wake kuhusu uwezekano wa kufungwa kwa Lango Bahari la Bab el Mandeb.
-
Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka: Hali ya maisha huko Gaza ni ya kutisha
Apr 13, 2026 11:59Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetoa onyo kuhusu kuendelea na kuongezeka kwa mashambulizi ya kikatili na udhibiti wa kijeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah Yemen: Lobi ya Wazayuni imezuia makubaliano kati ya Marekani na Iran
Apr 12, 2026 09:15Mjumbe wa Idara ya Siasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa lobi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Marekani imezuia kufikiwa makubaliano katika mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
-
Wenzo wa nguvu wa maeneo ya kijografia na kistratijia
Apr 04, 2026 12:57Ni jambo la kawaida kwamba nchi zilizoko katika maeneo tofauti ya kijografia na kistratijia hutumia nafasi hiyo kwa manufaa ya watu wake na kulinda maslahi yao ya kitaifa. Wachambuzi wa mambo wanasema hilo ni jambo linakubalika kimataifa na wala hakuna sheria yoyote inayopinga suala hilo ambayo ni haki ya kimsingi ya nchi iliyo katika maeneo kama hayo.
-
Mchambuzi wa Yemen: Haiwezekani kuufungua Mlango Bahari wa Hormuz kwa kutumia nguvu
Apr 04, 2026 07:27Mwandishi na mchambuzi wa Yemen ameeleza kuwa: Adui haiwezi kuufungua Mlango Bahari wa Hormuz kwa kutumia nguvu.
-
Wananchi na vyama vya kisiasa vya Uturuki vyapinga mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran
Apr 04, 2026 06:16Uchunguzi wa maoni nchini Uturuki unaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa nchi hiyo wanaunga mkono msimamo wa serikali yao wa kujiweka mbali na vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran. Vyama mbalimbali vya siasa nchini humo pia vimelaani mashambulizi ya pande mbili hizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jeshi la Israel lalegeza msimamo kuhusu ahadi alizotoa Netanyahu/Upokonyaji silaha wa Hizbullah hauwezekani
Apr 04, 2026 02:49Katika kukiri kistratijia kulikofichua udhaifu na mkanganyiko katika baraza la mawaziri la Israel, jeshi la utawala huo ghasibu limelegeza msimamo kuhusu ahadi alizotoa Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel na kutangaza rasmi kwamba, upokonyaji silaha dhidi ya Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon ni jambo lisilowezekana na kwamba sasa kauli mbiu hiyo imeondolewa katika orodha ya malengo ya vita.