-
HAMAS yaitawanga tena kwa makombora Tel Aviv, mwaka mmoja wa Kumbunga cha al Aqsa
Oct 07, 2024 07:32Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeutwanga tena kwa msururu wa makombora mji mkuu wa utawala wa Kizayuni, Tel Aviv, ikiwa ni katika maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa operesheni ya kihistoria ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoifedhehesha vibaya Israel.
-
Mwaka mmoja wa Kimbunga cha al Aqsa, Wazayuni wakiri ulikuwa mwaka mgumu sana
Oct 07, 2024 07:31Gazeti la Kizayuni la Haaretz la utawala wa Kizayuni limeandika ripoti maalumu kwa mnasaba wa mwaka mmoja wa Kimbunga cha al Aqsa na kusema kuwa, tarehe 7 Oktoba 2023, Israel ilipata pigo kubwa kutoka kwa wanamapambano wa Palestina.
-
Al-Nakhalah: Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina bado ipo imara katika medani ya vita
Oct 07, 2024 04:24Katika taarifa yake kuhusu mwaka wa kwanza wa Kimbunga cha al Aqsa dhidi ya utawala katili wa Kizayuni, Katibu Mkuu wa Harakati ya Palestina ya Jihadul Islami, Ziyad al-Nakhalah amesisitiza kuwa, Muqawama bado uko imara katika medani ya kupambana na utawala ghasibu wa Kizayuni.
-
Mwaka mmoja baada ya Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa; Israel yaendeleza mauaji ya kimbari
Oct 07, 2024 03:55Jumatatu ya leo 7 Oktoba inasadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ilipotekeleza Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Kiongozi wa Ansarullah: Marekani ni mshirika na muungaji mkono wa jinai zote za Israel
Oct 07, 2024 03:46Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi ni waitifaki, washirika na wafadhili wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel na zinashiriki katika mauaji na maafa dhidi ya taifa la Palestina.
-
Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo
Oct 06, 2024 22:49Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, asilimia 86 ya Waisraeli wanasema hawataishi tena katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko karibu na Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika mgogoro huo mbaya zaidi wa kibinadamu uliosababishwa na chokochoko za Tel Aviv.
-
Wapalestina 24 wauliwa shahidi katika mashambulizi ya Israel katikati mwa Gaza
Oct 06, 2024 08:25Wapalestina 24 wameuawa shahidi na 94 kujeruhiwa katika jinai za leo za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Unicef: Watoto zaidi ya 100 wameuawa Lebanon katika siku 11
Oct 06, 2024 07:36Mfuko wa Kuwahudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetangaza kuwa watoto zaidi ya 100 wameuawa huko Lebanon siku 11 zilizopita kufuatia hujuma na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel nchini humo.
-
Hizbullah yashambulia kampuni ya viwanda vya kijeshi vya Israel
Oct 06, 2024 03:58Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa mabomu kampuni ya viwanda vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni ya "ETA".
-
Mamia ya misikiti imebomolewa na Israel katika Ukanda wa Gaza
Oct 05, 2024 23:20Wizara ya Wakfu ya Gaza imetangaza kuwa misikiti zaidi ya 800 imebomolewa kikamilifu katika Ukanda wa Gaza huko Palestina kufuatia vita na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.