-
Shambulio la Yemen Tel Aviv; onyo kali la Mhimili wa Muqawama kwa utawala wa Kizayuni
Sep 15, 2024 23:20Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ameitaja oparesheni ya makombora ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya Tel Aviv kuwa ni la aina yake kuwahi kufanywa katika historia ya adui mvamizi Israel.
-
Israel yaajiri Waafrika wanaotafuta hifadhi kwa ajili ya kupigana vita dhidi ya watu wa Gaza
Sep 15, 2024 08:11Gazeti la Israel la Haaretz limefichua kuwa, Israel inawaajiri wahajiri kutoka Afrika kama sehemu ya operesheni zake za kijeshi katika vita vya utawala huo kaktili dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, mkabala wa kuwapa haki za ukaazi.
-
Israel yaunda kikosi maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar
Sep 15, 2024 04:01Shirika la kijasusi la ndani la Israel Shin Bet (Shabak) limeunda kitengo maalumu cha kumuua kigaidi Yahya Sinwar, Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS.
-
Abdul-Malik al-Houthi: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel huko Palestina
Sep 15, 2024 00:28Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Marekani ni mshirika wa adui Mzayuni katika kuwaua watu wasio na hatia wa Palestina.
-
Kuafikiana makundi ya Kipalestina juu ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni
Sep 14, 2024 22:45Kikao cha pande tatu kati ya harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Harakati ya Ukombozi ya Kiarabu na Harakati ya Ukombozi wa Palesetina kimefanyika na washiriki wa kikao hicho kusisitiza kuhusu haki ya wananchi wa Palestina ya kuendesha mapambano ya ukombozi dhidi ya maghasibu wa Kizayuni.
-
Shambulio la kigaidi la Israel kusini mwa Lebanon laua shahidi mtu mmoja na kujeruhi wengine 13
Sep 14, 2024 07:01Mtu mmoja ameuawa shahidi na wengine 13 kujeruhiwa katika mashambulio la kigaidi la utawala wa kigaidi wa Israel huko kusini mwa Lebanon.
-
Azma ya Iran na Iraq ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Sep 13, 2024 08:16Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na viongozi wa Iraq wamesisitiza nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad kwa ajili ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.
-
Kiongozi wa Hamas amuandikia barua Kiongozi wa Hizbullah, asisitiza kuishinda Israel
Sep 13, 2024 08:14Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Yahya Sinwar amemuandikia barua kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah, akiahidi kwamba harakati hiyo ya muqawama au mapambano ya Kiislamu "itasalia imara" katika njia ya kuushinda utawala haramu wa Israel.
-
WHO: Wapalestina 22,000 wanateseka na majeraha yanayobadili maisha
Sep 13, 2024 08:14Ripoti mpya ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO imebaini kwamba kwamba takriban robo ya Wapalestina waliojeruhiwa katika vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Gaza ambao ni sawa na watu 22,500 wanakabiliwa na majeraha ya kubadilisha maisha ambayo yanahitaji huduma za marekebisho sasa na kwa miaka ijayo.
-
Wafanyakazi 6 wa UN miongoni mwa watu 18 waliouliwa katika shambulio la kinyama la Israel Ghaza
Sep 12, 2024 04:10Wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) ni miongoni mwa watu 18 waliouawa hapo jana katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika skuli inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza ya Kati.