-
Uwezo wa kisiasa wa matembezi ya Arubaini ya Imamu Hussein (a.s)
Aug 20, 2024 23:00Mamilioni ya watu kutoka nchi tofauti wanashiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imamu Hussein (a.s).
-
Wazayuni: Waziri wa Usalama wa Ndani wa Israel ni "gaidi"
Aug 20, 2024 08:27Idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wamemshambulia Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakimwita "mharibifu na gaidi".
-
Hamas yajibu pendekezo la Doha, yasema Netanyahu 'anazuia' mpango wa kusitisha mapigano
Aug 19, 2024 08:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemlaumu vikali Waziri Mkuu wa utawala wa Israel Benjamin Netanyahu kwa kushindwa kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza, kufuatia mazungumzo ya siku mbili huko Doha yaliyokamilika siku ya Ijumaa, ambapo harakati hiyo ya Palestina haikushiriki.
-
Waungaji mkono wa usitishaji vita wamkalia kooni Netanyahu kwa kuandamana dhidi yake Tel Aviv na Haifa
Aug 19, 2024 04:34Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji ya Tel Aviv na Haifa dhidi ya baraza la mawaziri la Netanyahu na kutaka yafikiwe makubaliano ya kusitisha vita na harakati ya HAMAS.
-
Droni ya Hizbullah yapaa juu ya makazi ya waziri mkuu wa Israel bila ya kutunguliwa
Aug 19, 2024 02:41Droni (ndege isiyo na rubani) ya Hizbullah iliyotengenezwa maalumu kwa ajili ya kupiga picha, imeruka kwenye kitongoji cha Qaysaria (Caesarea) ambalo ni eneo analoishi waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu na familia yake.
-
Kiwewe cha shambulizi la kilipiza kisasi la Iran; Safari zote za ndege za Marekani kwenda Israel zafutwa
Aug 18, 2024 23:38Shirika la Redio na Televisheni la Israel limetangaza kuwa safari zote za ndege za Marekani kuelekea katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) zimefutwa.
-
Israel yaendelea kufanya mashambulio ya anga dhidi ya Ukanda wa Gaza
Aug 18, 2024 23:23Mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yameendelea kuripotiwa.
-
Mazuwari waendelea kumiminika Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as)
Aug 18, 2024 09:31Mazuwari kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Iraq na maeneo mengine ya dunia wameendelea kumiminika katika mji wa Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Mama, watoto wake sita, miongoni mwa Wapalestina kadhaa waliouawa shahidi leo Ghaza
Aug 18, 2024 08:45Wapalestina wasiopungua 21, akiwemo mama na watoto wake sita, wameuawa shahidi leo wakati jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel liliposhambulia maeneo kadhaa katika Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS: Marekani haina nia ya kweli ya kuhitimisha vita vya Ghaza
Aug 18, 2024 08:44Kiongozi Mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Marekani haina nia ya kweli ya kufanikisha ukomeshaji vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza.