-
HAMAS: Hatutashiriki mazungumzo ya usitishaji vita Doha
Aug 14, 2024 23:15Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema wawakilishi wa harakati hiyo ya muqawama hawatashiriki mazungumzo ya leo ya usitishaji vita yanayotazamiwa kufanyika Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Ghaza; makabiliano ya Marekani na Jamii ya Kimataifa
Aug 14, 2024 07:45Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa cha kujadili shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Skuli ya Al-Tabeen katika Ukanda wa Ghaza kilifanyika siku ya Jumanne ambapo akthari ya wanachama wa Baraza hilo walilaani jinai ya utawala huo na kusisitiza juu ya ulazima wa kusitishwa vita mara moja huko Ghaza.
-
Sinwar: Tuko tayari kufanya mazungumzo iwapo vita vya Gaza vitasitishwa
Aug 14, 2024 04:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa kushiriki kwao katika mazungumzo ya Doha kunategemea na kusimamishwa vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Msikiti wa Al Aqsa wavamiwa na walowezi wakiongozwa na Ben Gvir
Aug 14, 2024 00:39Walowezi wa utawala haramu wa Israel wamevamia boma la Msikiti wa al-Aqsa, huku waziri mkaidi mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa utawala huo Itamar Ben-Gvir akijiunga nao na hivyo kuzua mvutano mpya na Waislamu Wapalestina ambao hutekeleza ibada katika eneo hilo takatifu.
-
Putin: Russia inafanya kila kitu kuunga mkono Palestina
Aug 14, 2024 00:36Rais Vladmir Putin wa Russia ameeleza machungu na wasiwasi mkubwa kuhusu maafa wanayopata raia Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.
-
HAMAS: Badala ya mazungumzo mapya, Wazayuni walazimishwe kutekeleza usitishaji vita
Aug 13, 2024 02:10Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema utawala ghasibu wa Kizayuni umethibitisha kuwa hautaki kufikia makubaliano; na kwa sababu hiyo, harakati hiyo imewataka wapatanishi wa Misri na Qatar wawalazimishe Wazayuni watekeleze pendekezo la hivi karibuni la usitishaji vita badala ya kutaka yaanzishwe mazungumzo mengine mapya.
-
OIC yatakiwa kuunga mkono mhimili wa muqawama
Aug 12, 2024 23:07Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Nigeria amelaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Waislamu wa Gaza, ambayo yalisababisha vifo vya watu karibu 200 walipokuwa wakiswali Swala ya alfajiri katika shule ya Tabeen.
-
Utawala wa Kizayuni, mbunifu wa mbinu mpya za mauaji ya kimbari
Aug 12, 2024 23:04Katika kitendo kingine cha jinai na uhalifu wa kutisha, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshambulia shule ya al-Tabiin huko Gaza na kuuwa shahidi na kujeruhiwa mamia ya Wapalestina.
-
HAMAS: OIC na Arab League zifanye mkutano haraka ili kusimamisha mauaji ya kimbari ya Ghaza
Aug 12, 2024 07:48Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) zifanye mkutano wa dharura wa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wazayuni wazidi kujawa na hofu na kiwewe cha kungojea ulipizaji kisasi wa Mhimili wa Muqawama
Aug 12, 2024 07:35Utawala wa Kizayuni wa Israel umerefusha muda wa kuviweka katika hali ya tahadhari vikosi vya jeshi lake la anga kwa kuhofia madhara makubwa yatakayosababishwa na jibu la ulipizaji kisasi la Mhimil wa Muqawama kufuatia mauaji ya Ismail Haniya, aliyeuliwa shahidi na utawala huo wa kigaidi.