-
Wazayuni wazidi kujawa na hofu na kiwewe cha kungojea ulipizaji kisasi wa Mhimili wa Muqawama
Aug 12, 2024 07:35Utawala wa Kizayuni wa Israel umerefusha muda wa kuviweka katika hali ya tahadhari vikosi vya jeshi lake la anga kwa kuhofia madhara makubwa yatakayosababishwa na jibu la ulipizaji kisasi la Mhimil wa Muqawama kufuatia mauaji ya Ismail Haniya, aliyeuliwa shahidi na utawala huo wa kigaidi.
-
Hamas: Vita havitakwisha kama anavyotarajia adui Muisraeli
Aug 12, 2024 02:32Kiongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema vita "havitakwisha kama anavyotarajia adui Muisraeli."
-
Hizbullah yashambulia kwa mafanikio kambi ya jeshi la Israel huko Giaton
Aug 12, 2024 02:23Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kwamba imeshambulia kwa mafanikio kambi muhimu ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika maeneo ya kaskazini yanayokaliwa kwa mabavu.
-
Maafisa wa jeshi la Israel wamepoteza matumaini ya kupata ushindi katika vita vya Ghaza
Aug 11, 2024 23:38Maafisa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kuwa, ushindi dhidi ya Muqawama wa Palestina katika Ukanda wa Ghaza uko mbali sana kupatikana.
-
Ripota wa UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza kwa silaha za US, Ulaya
Aug 11, 2024 04:05Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa Kuhusu Haki za Binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu amekosoa vikali hatua ya utawala wa Kizayuni ya kuendelea kufanya mauaji na jinai nyingine za kutisha dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
OIC yalaanii jinai mpya ya Israel na kutaka ilazimishwe kusitisha vita
Aug 11, 2024 02:14Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani jinai mpya ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa, utawala huo unapaswa kulazimishwa kuanzisha usitishaji vita mara moja.
-
Al Azhar yalaani jinai mpya za Wazayuni; Tunisia wamuunga mkono Sinwar
Aug 11, 2024 00:53Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al Azhar cha Misri kimelaani vikali jinai mpya ya utawala wa Kizayuni ya kuwaua kikatili Waislamu waliokuwa wanasali katika kambi ya wakimibizi huko Ghaza na kusisitiza kuwa, maneno ya kuelezea jinai na ukatili mbaya mno wa Wazayuni, hayapatikani.
-
Muqawama: US ni mshiriki wa mauaji mapya ya halaiki Gaza
Aug 10, 2024 07:43Makundi ya mrengo wa Muqawama katika eneo la Asia Magharibi yamelaani vikali jinai mpya ya kuogofya ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, ambapo zaidi ya Wapalestina 100 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Israel yaua Wapalestina zaidi ya mia moja na kujeruhiwa makumi kwenye eneo la ibada huko Gaza
Aug 10, 2024 04:00Zaidi ya Wapalestina 100 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mauaji mapya yaliyofanywa na utawala vamizi wa Israel katikati mwa mji wa Gaza alfajiri ya leo, Jumamosi.
-
Pakistan yakanusha ripoti za Israel kuhusu kuipatia Iran silaha za nyuklia
Aug 10, 2024 03:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistani, Mumtaz Zahra Baloch, amekanusha ripoti zilizochapishwa na vyombo vya habari vya Israel zinazodai kuwa Islamabad imejitolea kupeleka silaha za nyuklia nchini Iran, na kuzitaja ripoti hizo kuwa hazina msingi wowote.