-
Ripoti: Israel imeiba zaidi ya miili 2,000 kutoka kwenye makaburi ya Gaza
Aug 06, 2024 08:46Vikosi vya jeshi la Israel vimeiba zaidi ya miili 2,000 iliyofukuliwa kutoka kwenye makaburi mbalimbali katika ukanda wa Gaza, huku ripoti kutoka Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Gaza zikisema baadhi ya maiti zimerudishwa baada ya majeshi ya Israel "kuvunjia heshima miili" ya marehemu hao.
-
Smotrich: Vifo vya Wapalestina milioni mbili huko Gaza kwa njaa ni "haki na uadilifu"
Aug 06, 2024 08:33Waziri wa Fedha wa Israel, Bezalel Smotrich, amesema kwamba vifo vya Wapalestina milioni mbili katika Ukanda wa Gaza kutokana na njaa "vinaweza kuwa vya haki na uadilifu kwa ajili ya kuwarejesha mateka wa Israel," wanaoshikiliwa na makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina.
-
Radiamali ya Hamas kwa jinai kubwa ya Tel Aviv dhidi ya miili ya mashahidi wa Palestina
Aug 06, 2024 04:21Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kitendo kilichofanywa na utawala wa Kizayuni cha kukabidhi miili ya mashahidi zaidi ya 80 wa Kipalestina katika hali iliyoharibika kabisa kinaonyesha kiwango kisicho na kifani cha jinai za utawala huo.
-
Matokeo ya operesheni 2,500 za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon dhidi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Aug 05, 2024 11:41Katika siku 300 zilizopita tangu kuanza hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, Hizbullah ya Lebanon imelenga shabaha maeneo mbalimbali utawala huo katika operesheni za kijeshi 2,500.
-
Mauaji ya Gaza: Israel yashambulia shule na kuua watoto wa Palestina
Aug 05, 2024 04:22Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vimeshambulia kambi mbili za shule katika Ukanda wa Gaza, na kuua Wapalestina wasiopungua 30 waliokimbilia makazi yao.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga makao ya kamandi ya utawala katili wa Israel
Aug 05, 2024 03:56Hizbullah ya Lebanon imelenga makao ya Kamandi ya Kitengo cha 91 cha utawala wa Kizayuni huko Eilat katika shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel, kwa kutumia ndege kadhaa zisizo na rubani.
-
Jeshi la Yemen latungua ndege ya kivita isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper
Aug 05, 2024 01:17Vikosi vya ulinzi vya anga vya Yemen vimeitungua ndege nyingine ya kivita isiyo na rubani ya MQ-9 Reaper ya Marekani katika anga ya Yemen.
-
Rais Maduro: Venezuela daima itakuwa pamoja na wananchi wa Palestina
Aug 04, 2024 08:45Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amelaani mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Amerika ya latini daima itakuwa pamoja na Palestina.
-
Umoja wa Wapalestina katika Siku ya Kitaifa na Kimataifa ya kuunga mkono Ghaza na mateka wa Kipalestina
Aug 04, 2024 07:22Miji mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan imeshuhudia maandamano ya kupinga vita vya Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na mauaji ya kimbari dhidi yao katika siku ya kitaifa na kimataifa ya kuisaidia na kuiunga mkono Ghaza na mateka Wapalestina.
-
Shirika la Redio na TV la Israel: Hatupati usingizi kwa hofu ya majibu ya Iran
Aug 04, 2024 03:54Shirika la Redio na Televisheni la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kwamba Wazayuni hawapati usingizi kabisa kwa kuhofia jibu la Iran hasa kwa kutojua majibu hayo yatatolewa lini na kutabiri kuwa, huenda mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Tehran yatapiga kambi za kijeshi za Israel.