-
Sayyid Hassan Nasrullah: Wazayuni mumefurahi kidogo lakini mtalia sana
Aug 01, 2024 23:19Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, katika kambi ya muqawama, wakuu na makamanda wa kambi hiyo hawajifichi bali wako katikati ya medani ya mapambano na wanakufa shahidi kwenye medani hiyo.
-
Hizbollah yathibitisha kuuawa shahidi Fuad Shukr katika shambulio la anga la Israel
Jul 31, 2024 23:48Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imethibitisha rasmi kuuawa shahidi Fuad Shukr mmoja wa makamanda wake wakuu katika shambulio la anga la Israel kwenye kitongoji kimoja jirani na mji mkuu Beirut.
-
Hizbullah: Mauaji ya Haniya yataimarisha zaidi azma ya wanamapambano ya kukabiliana na adui
Jul 31, 2024 23:46Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusisitiza kwamba, kuuawa shahidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya HAMAS kutaimarisha zaidi azma ya wapiganaji wa Muqawama ya kukabiliana na adui Mzayuni.
-
Mwana wa kiume wa Haniya: Wapalestina watapambana mpaka wapate uhuru wao
Jul 31, 2024 23:45Mwana wa kiume wa Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina HAMAS ambaye aliuawa katika shambulizi lililofanywa katika mji mkuu wa Iran Tehran, ameapa kuwa Wapalestina "watapambana mpaka wapate uhuru wao."
-
Shahidi Haniyeh; mwanamapambano imara na shupavu
Jul 31, 2024 08:43Shahidi Ismail Haniyeh Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
-
Makundi mbalimbali yalaani mauaji ya Israel dhidi ya Ismail Haniyeh
Jul 31, 2024 05:51Makundi ya mapambano na Muqawama, yamelaani kitendo cha kigaidi cha kuuawa Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kufuatia shambulio dhidi ya sehemu alikofikia mjini Tehran.
-
OXFAM yaonya kuhusu kuendelea jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Jul 31, 2024 03:56Shirika la Misaada ya Kibinadamu la OXFAM limeonya kuhusiana na kuendelea jinai za utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kushadidi mvutano baina ya Uturuki na utawala ghasibu wa Israel
Jul 30, 2024 23:34Matamshi ya rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kuhusu uwezekano wa kuchukua hatua dhidi ya Israel sawa na hatua zilizochukuliwa Karabakh na Libya yameongeza mvutano wa maneno kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
UN: Wapalestina Gaza wanahitaji chanjo haraka ili kuzuia polio
Jul 30, 2024 23:10Katika jitihada za kuzuia janga la ugonjwa wa polio huko Gaza, mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa jana Jumanne yalikariri wito wa kufanyika jitihada za kimataifa za kuutaka utawala wa Israel usitishe vita ili kuruhusu kampeni kubwa ya utoaji chanjo kuanza.
-
Mratibu wa UN ataka kuheshimiwa sheria baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji huko Rafah
Jul 30, 2024 04:03Mratibu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza jana alisema kuwa sheria za kimataifa zinapasa kufuatwa baada ya Israel kushambulia hifadhi ya maji ya kunywa huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.