-
Mufti wa Libya: Kuikomboa Palestina ni wajibu wa kidini
Feb 18, 2026 23:39Sheikh Sadiq al-Ghariani, Mufti wa Libya amesema kwamba kuikomboa Palestina na kuwasaidia wakazi wake ni wajibu wa kidini kwa Waislamu wote.
-
Wazayuni wenye misimamo mikali wavamia msikiti wa al-Aqswa
Feb 18, 2026 23:11Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena Msikiti mtakatifu wa Al-Aqswa na kufanya vitendo vya kichochezi dhidi ya kibla hicho cha kwanza cha Waislamu.
-
Israel, tishio kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi
Feb 18, 2026 07:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya jinai kubwa zaidi kwa kupewa kinga kamili katika kipindi cha miongo minane iliyopita.
-
Kwa kuwadia Ramadhani, mlowezi wa kizayuni auchoma moto Msahafu Baitul-Muqaddas
Feb 18, 2026 07:00Mlowezi mmoja Muisraeli wa kizayuni mwenye misimamo ya chuki ameichoma moto nakala ya Kitabu kitakatifu cha Waislamu, Qur'ani, akiwa katika eneo ambalo halijafahamika katika mji wa Baitul-Muqaddas, siku chache kabla ya kuanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Nchi 80 zalaani mpango wa Israel wa kughusubu Ukingo wa Magharibi
Feb 18, 2026 02:55Zaidi ya nchi 80 wanachama wa Umoja wa Mataifa zimelaani mpango wa Israel wa kupora na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu, na kuyatambua maeneo hayo ya Palestina kama "milki ya serikali" ya Israel.
-
Israel yashadidisha mateso kwa Wapalestina inaowashikilia kwenye magereza yake
Feb 17, 2026 23:33Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, kwa mujibu wa ziara za ukaguzi zilizofanywa na wanasheria wake na ushuhuda uliorekodiwa, utawala wa kizayuni wa Israel umeshadidisha udhalilishaji na ushinikizaji wa kimfumo dhidi ya wafungwa Wapalestina unaowashikilia katika magereza yake ya kuogofya.
-
Sheikh Qassem: Hizbullah haina lengo la kuanzisha vita, lakini kamwe haitasalimu amri
Feb 17, 2026 03:37Sheikh Naim Qassim Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa harakati hiyo ya muqawama haitaki vita lakini imejiandaa kikamilifu kuilinda Lebanon na kutoa jibu kali kwa uchokozi wowote wa maadui wa nchi hiyo.
-
Mijibizo dhidi ya njama za Israel za kuendeleza uporaji na ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Ukingo wa Magharibi
Feb 16, 2026 22:54Makundi ya Wapalestina na nchi kadhaa za eneo zimetoa mjibizo kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuvamia na kuyakalia kwa mabavu maeneo kadhaa ya ardhi za Ukingo wa Magharibi, zikisisitiza kwamba, huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
"Ni muhali kufikia amani na Israel madhali inakiuka haki za Wapalestina"
Feb 16, 2026 06:47Waziri wa Mambo ya Nje na Wahamiaji wa Palestina, Varsen Aghabekian Shahin amesema kufikia amani na Israel "haiyumkiniki" madhali haki za Wapalestina zinakiukwa na utawala huo wa Kizayuni, akisisitiza kwamba sheria za kimataifa zinapasa kuzingatiwa, na uchukuaji wa hatua za upande mmoja lazima ukomeshwe.
-
Palestina yapongeza matokeo ya mkutano wa kilele wa Afrika uliounga mkono uanachama wake UN
Feb 16, 2026 02:28Palestina imekaribisha matokeo ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, ambao umesisitiza tena upinzani wa bara hilo dhidi ya mipango ya kuwafukuza Wapalestina katika nchi yao na kuunga mkono suala la Palestina kupata uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa.