-
Nasrullah: Wanajeshi 1,500 wa Israel wameuawa tangu kuanza vita vya Gaza
May 14, 2024 00:07Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema wanajeshi 1,500 wa Israel wameuawa tangu kuanza vita vya utawala huo haramu dhidi ya Gaza, jambo ambalo limeyalazimu makundi ya muqawama katika eneo la Magharibi mwa Asia, ikiwemo Hizbullah, kuanzisha mashambulizi dhidi ya Israel ili kuilazimisha kukomesha vita hivyo.
-
Familia za wanajeshi waliouawa zamshambulia Waziri wa Usalama wa Israel
May 13, 2024 23:38Familia za wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliouawa vitani Ukanda wa Gaza zimemshambulia Itamar Ben- Gvir Waziri wa Usalama wa Ndani wa utawala wa Kizayuni.
-
Balozi wa Yemen nchini Iran: Mkutano wa Tehran utaleta maelewano kati ya Iran na Waarabu
May 13, 2024 23:20Balozi wa Yemen nchini Iran amesema kuwa Mkutano wa Mazungumzo ya Iran na Waarabu uliofanyika mjini Tehran chini ya anwani "Kwa ajili ya Ushirikiano na Maelewano" utaliimarisha taifa la Palestina na kuboresha maelewano kati ya Iran, Waarabu na nchi mbalimbali.
-
MSF watahadharisha kuhusu hali inayozidi kuwa mbaya ya binadamu huko Rafah
May 13, 2024 23:06Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imesema kuwa hali ya mji wa Rafah huko kusini mwa Ukanda wa Gaza ni mbaya.
-
Mfumo wa huduma ya afya wa Gaza unakaribia kusambaratika kabisa
May 13, 2024 08:30Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, ambayo inaendelea kustahamili vita vya mauaji ya kimbari vinavyotekelezwa na utawala haramu wa Israel katika eneo hilo imeonya kuhusu kusambaratika kabisa mfumo mzima wa afya katika eneo hilo.
-
Hizbullah yazindua kombora jipya katika shambulio dhidi jeshi la Israel
May 13, 2024 08:05Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imetumia kwa mara ya kwanza kombora zito kushambulia eneo la kijeshi la Israel katika sehemu ya kaskazini ya maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu mwaka 1948 kwa ajili ya kulipiza kisasi vita vya umwagaji damu vya Israel dhidi ya Gaza.
-
Ripoti: Wahudumu wa afya 500 wameuawa katika mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza
May 13, 2024 03:19Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel yameua mamia ya madaktari na wahudumu wa afya katika eneo hilo linalozingirwa.
-
Al-Nakhalah: Muqawama ndilo chaguo bora zaidi la kukomesha kukaliwa kwa mabavu Palestina
May 13, 2024 00:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, Muqawama ndilo chaguo bora zaidi la kukomesha kukaliwa ardhi ya Palestina kwa mabavu.
-
Uingereza yatupilia mbali miito ya kuitaka isitishe uuzaji silaha kwa Israel
May 13, 2024 00:35Serikali ya Uingereza imekataa miito ya kuitaka ifuate mwelekeo ulioonyeshwa na Marekani wa kutishia kusitisha baadhi ya mauzo ya silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ikiwa utafanya operesheni kubwa ya ardhini katika mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza unaowapa hifadhi wakimbizi Wapalestina wapatao milioni moja na laki nne.
-
Maandamano ya kuunga mkono Palestina na Ghaza yaendelea katika miji mbalimbali duniani
May 13, 2024 00:34Watu wa miji tofauti katika nchi mbalimbali duniani, kwa mara nyingine wamemiminika mabarabarani wakiandamana kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina hususan wa Ukanda wa Ghaza na kulaani jinai za mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala dhalimu wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo.