-
Taarifa ya Jeshi la Syria: Mashambulizi ya Marekani yanalenga kulirejesha kundi la Daesh
Feb 03, 2024 08:56Wizara ya Ulinzi ya Syria imesema leo kuwa mashambulizi ya jana ya Marekani katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na Iraq yametekelezwa katika maeneo ambako jeshi la Syria linaendelea kupambana dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
HAMAS na Jihadul Islami: Haya ndiyo masharti yetu ya kukubali kusimamisha vita na Wazayuni
Feb 03, 2024 04:47Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Ziyad al Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina wamefanya mazungumzo kuhusu mapendekezo ya kusimamishwa vita Ghaza na kutoa masharti yao kuhusu jambo hilo.
-
Iraq yatoa onyo baada ya US kufanya mashambulizi ya anga nchini humo
Feb 03, 2024 03:58Serikali ya Iraq imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya maeneo kadhaa ya nchi hiyo na nchi jirani yake Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimekiuka mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Hizbullah: Njia pekee ya kuondoa wasiwasi ni kukomeshwa mauaji ya kimbari Ghaza
Feb 02, 2024 23:38Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo imejiweka tayari kukabiliana na vitisho vyovyote vya utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, njia pekee ya kuondoa wasiwasi uliopo ni Israel kukomesha mauaji ya watu wasio na hatia huko Ghaza, Palestina.
-
Hukumu ya kifungo cha miaka 10 jela dhidi ya Imran Khan
Feb 02, 2024 11:17Mahakama ya Nyaraka za Siri ya Pakistan imemhukumu Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo Imran Khan na msaidizi wake wa karibu, waziri wa zamani wa mashauuri ya Kigeni Shah Mahmood Qureshi, kifungo cha miaka 10 jela katika kesi inayohusiana na uvujishaji wa siri za serikali.
-
HAMAS: Hakutafikiwa makubaliano bila ya kusimamishwa vita na jeshi la Kizayuni kuondoka Gaza
Feb 02, 2024 10:42Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa mjibizo kwa mpango uliopendekezwa wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kutangaza kwamba, hakutafikiwa makubaliano bila ya kusimamishwa vita na jeshi la utawala wa Kizayuni kuondoka Gaza.
-
WAFF yataka Israel ifukuzwe katika shughuli zote za kandanda duniani
Feb 02, 2024 04:20Shirikisho la Soka la Asia Magharibi (WAFF) limetoa mwito wa kusimamishwa utawala wa Israel katika mashindano na shughuli zote zinazohusiana na mpira wa miguu duniani, madhali Tel Aviv inaendeleza vita vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli
Feb 02, 2024 04:19Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema juhudi za Washington za kutafuta usaidizi na upatanishi wa China ili iwaombe Wayemen wasimamishe mashambulizi dhidi ya meli za Marekani na Uingereza zinazopita Bahari Nyekundu zinaonesha namna madola hayo mawili ya kibeberu yalivyofeli katika mipango yao.
-
UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi
Feb 01, 2024 23:10Umoja wa Mataifa umesema kuwa wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza kila siku wanapambana ili kuweza kuishi.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaitishia Lebanon mara kwa mara?
Feb 01, 2024 23:06Yoav Gallant, Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel meidai katika matamshi yake kuwa yaliyojiri Gaza huenda yakajikariri nchini Lebanon.