-
UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa
Jan 20, 2024 03:52Umoja wa Mataifa umesema huenda vikosi vya jeshi la Israel vimewakamata maelfu ya Wapalestina wakazi wa Ukanda wa Gaza, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya wakazi wa eneo hilo uliolizingira.
-
Jihadul Islami: Vikwazo vipya vya EU vimechochewa kisiasa
Jan 20, 2024 03:50Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeukosoa vikali Umoja wa Ulaya kwa kuwawekea vikwazo maafisa wa kundi hilo la muqawama pamoja na wenzao wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina(HAMAS).
-
Jeshi la Israel lateketeza jengo la chuo kikuu cha Palestina lenye athari za kihistoria za miaka 3,000
Jan 20, 2024 03:22Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limelitekeza jengo la Chuo Kikuu cha Al-Israa cha Palestina katika Ukanda wa Gaza chenye athari za kale za kihistoria za tangu miaka elfu tatu iliyopita.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli nyingine ya US Ghuba ya Aden
Jan 20, 2024 00:33Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimeshambulia meli nyingine ya Marekani iliyokuwa ikipita katika Ghuba ya Aden.
-
Mchakato wa kura ya kutokuwa na imani na Netanyahu wazinduliwa rasmi
Jan 19, 2024 04:07Duru za Kizayuni zimeshadidia kupamba moto hitilafu kati ya Biden na Netanyahu na zimetangaza kuanza mchakato wa vyama vya utawala wa Kizayuni wa Israel, wa kupigwa kura ya kutokuwa na imani na baraza la mawaziri la Netanyahu.
-
Wanajeshii watano wa Israel waangamizwa na muqawama Khan Yunis
Jan 19, 2024 00:01Wanajeshi watano wa utawala vamizi wa Israel wameuawa na wengine kadhaa kuujeruhiwa katika mapigano baina yao na wanamuqawama wa Palestiona katika mji wa Khan Yunis huko Palestina.
-
Muqawama wa Iraq wapiga kambi ya kijeshi ya Marekani huko Syria
Jan 18, 2024 08:18Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa wanamuqawama wa Iraq wameishambulia kambi ya kijeshi ya Marekani ya hemo huko Syria kwa kutumia ndege zisizo na rubani.
-
Himaya mpya ya Magharibi kwa Israel
Jan 18, 2024 05:05Wakati ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel bado unaendeleza mauaji yake dhidi ya Wapalestina wa Gaza, nchi za Magharibi nazo zinaendelea kutoa himaya na misaada kwa utawala huo, na kinyume na madai yote ya eti kutetea haki za kibinadamu yanayotolewa na nchi hizo, zinaiwezesha Israel kuendeleza vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina wengine 17 wauawa shahidi katika shambulio la Israel kusini mwa Gaza
Jan 18, 2024 04:14Wapalestina 17 wameuawa shahidi katika shambulio la mapema asubuhi ya leo lililofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah ya Yemen: Ni fakhari kwetu kuitwa magaidi na utawala wa kigaidi wa Marekani kwa sababu ya Palestina
Jan 18, 2024 03:13Ofisi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mjibizo kwa hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo ya Washington haina thamani wala itibari yoyote.