-
Wapalestina 22,315 wameuawa shahidi Gaza tangu yalipoanza mashambulizi ya Israel Oktoba 7
Jan 04, 2024 08:57Idadi ya vifo vya Wapalestina kutokana na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na jeshi katili la Israel huko Gaza tangu Oktoba 7 imeongezeka na kupindukia 22,000.
-
Umoja wa Mataifa: Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza ni sawa na mauaji ya kizazi
Jan 04, 2024 07:41Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, unapinga kile kinachoonekana kama mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kusisitiza kuwa, hatua haina tofauti na mauaji ya kimbari.
-
Mauaji ya kigaidi ya Saleh al-Arouri; Utawala wa Kizayuni wakiri kushindwa katika malengo ya kijeshi ya vita vya Gaza
Jan 04, 2024 02:20Katika kitendo cha jinai, utawala wa Kizayuni wa Israel umemuua Saleh al-Arouri na wapiganaji wengine 7 wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) huko Beirut. Uhalifu huu unaweza kuchambuliwa katika pande kadhaa.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya Wazayuni
Jan 04, 2024 02:04Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo kadhaa ya Wazayuni karibu na mpaka wa Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
WHO yaonya kuhusu kutokea maafa ya kibinadamu Gaza
Jan 03, 2024 23:40Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amelaani shambulio la bomu katika kituo cha Hilali Nyekundu cha Palestina katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hatua hiyo kwamba, iikko kkinyume na dhamiri na takkwa la kulinda vituo vya matibabu katika ukanda huo.
-
Idadi ya wanajeshi wa Israel walioangamizwa wafikia 501
Jan 03, 2024 23:40Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuwa, idadi ya askarii wake waliouawa hadi sasa tangu ilipototekkelezwa operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa imefikia 501.
-
Benki Kuu ya Israel: Vita vya Ghaza vinazidi kututia hasara, itafika dola bilioni 58
Jan 03, 2024 23:13Gavana wa Benki Kuu ya Israel amesema kuwa vita vya Ghaza vinazidi kutia hasara utawala wa Kizayuni na hasara hizo zinaweza kupindukia dola bilioni 58 za Kimarekani.
-
Haniyeh: Israel itawajibika kwa mauaji ya Arouri
Jan 03, 2024 04:36Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Hamas, Ismail Haniyeh amesema utawala haramu wa Israel utawajibika kwa mauaji ya afisa mkuu wa harakati hiyo, Saleh al-Arouri, na ameyataja mauaji hayo kuwa ni "kitendo cha kigaidi na ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala ya Lebanon."
-
Haaretz: Mfumo wa afya ya akili wa Israeli unaelekea kusambaratika
Jan 03, 2024 04:35Gazeti la Haaretz la Israel limeripoti kuwa wakati mfumo wa afya ya akili wa Israel unakabiliwa na hatari ya kuporomoka, madaktari wa magonjwa ya akili wanaondoka kuelekea Uingereza kutafuta hali bora zaidi ya maisha.
-
Naibu katika Ofisi ya Kisiasa ya Hamas auawa katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Jan 02, 2024 23:18Naibu mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Palestina Hamas ameuawa katika shambulio la kigaidi la ndege isiyo na rubani ya utawala katili wa Israel katika kitongoji cha kusini mwa mji mkuu wa Lebanon wa Beirut.