-
WFP yatahadharisha kuhusu mgogoro wa njaa Ukanda wa Gaza
Dec 22, 2023 04:46Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha kuwa Ukanda wa Gaza utakumbwa na mgogoro wa njaa iwapo vita vitaendelea katika eneo hilo.
-
Askari 11 wa kikosi maalumu cha Israel waangamizwa kaskazini mwa Gaza
Dec 22, 2023 04:17Mapigano kati ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Brigedi za Al Qassam kaskazini mwa Ukanda wa Gaza yamepelekea kuangamizwa wanajeshi kadhaa wa kikosi maalumu cha utawala huo.
-
Afisa wa Yemeni: Marekani ikifanya ujinga, jeshi letu litapigana nayo
Dec 21, 2023 23:35Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema iwapo Marekani inataka kufanya ujinga mpya, jeshi la Yemen litakuwa tayari kukabiliana nayo na lina chaguzi za kushangaza.
-
Onyo la Macron kuhusu kuharibiwa Gaza na Wazayuni
Dec 21, 2023 22:59Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuangamizwa Ukanda wa Gaza kwa mashambulizi kipofu ya utawala haramu wa Israel huku mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina yakiendelezwa na utawala huo katili katika ukanda huo.
-
Hizbullah yauvurumishia maroketi mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel karibu na Lebanon
Dec 21, 2023 07:53Wanamuqawama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon wameendeleza mashambulizi yao dhidi ya maeneo ya Israel, na mara hii wameuvurumishia maroketi mji wa kaskazini unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel karibu na mpaka wa Lebanon.
-
Kushtadi tofauti katika Baraza la Mawaziri la Netanyahu kuhusu kuendelea vita vya Gaza
Dec 21, 2023 06:54Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kutokea mvutano katika Baraza la Mawaziri la serikali ya utawala ghasibu wa Israel kuhusiana na vita vya Gaza.
-
Wajibu wa kibinadamu, kimaadili na kidini wa Wakristo kuhusu mauaji ya halaiki huko Gaza
Dec 21, 2023 04:36Katika siku ya 75 ya hujuma ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza, jeshi la utawala huo limefunga kikamilifu hospitali ya al-Ma'madani na kuizuia kutolewa huduma za dharura kwa wagonjwa na majeruhi katika hospitali hiyo.
-
Ismail Haniya: Muqawama wa Wapalestina ni imara
Dec 21, 2023 03:11Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesisitiza uthabiti na azma ya harakati hiyo katika kuendeleza mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina.
-
Dalili za usitishaji mpya wa mapigano huko Gaza katika siku ya 75 ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Dec 20, 2023 23:35Katika siku ya 75 ya operesheni ya kimbunga cha al-Aqsa, utawala wa Kizayuni umeanzisha tena mashambulizi makali ya anga katika maeneo ya mashariki na kusini mashariki mwa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi
Dec 20, 2023 07:44Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi na haitojali kwamba msimu wa baridi kali umekaribia barani Ulaya.