-
Waziri Mkuu wa Kuwait asisitiza umuhimu wa kadhia ya Palestina
Sep 22, 2023 08:03Waziri Mkuu wa Kuwait Ahmad Nawaf Al-Ahmad Al-Sabah amesisitiza kuwa Palestina ni moja ya masuala muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu na ulimwengu wa Kiarabu.
-
Mahmoud Abbas: Ni ndoto kupatikana amani bila taifa la Palestina kupata haki zake za kisheria
Sep 21, 2023 23:44Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema katika Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba: "ni ndoto na dhana batili kuweza kuleta suluhu na amani pasi na taifa la Palestina kupata haki zake za kisheria".
-
Askofu wa Lebanon: Kuvunjia heshima matukufu ya kidini ni uovu
Sep 21, 2023 23:11Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiothodoksi la Jabal na Tripoli la Lebanon amelaani vitendo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini na kusisitiza kuwa, kufanya vitendo hivyo ni jambo ovu.
-
Wapinzani Wazayuni "wala sahani moja" na Netanyahu mjini New York
Sep 21, 2023 23:10Kama ilivyokuwa imetabiriwa tangu zamani, safari ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu ya kushiriki kwenye mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New Yoirk Marekani, imekuwa na vioja vingi.
-
Brigedi mpya ya Jihad Islami kukabiliana na askari Israel katika Ukingo wa Magharibi
Sep 21, 2023 08:39Brigedi Mpya imeundwa na harakati ya kupigania ukombozi wa Palestina ya Jihad Islami kukabiliana na Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
-
Amir wa Qatar: Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21
Sep 20, 2023 07:58Amir wa Qatar amesema kuwa, Israel ni utawala wa kibaguzi wa karne ya 21, na kusisitiza kuwa, wananchi wa Palestina hawapaswi kuwa watumwa wa dhulma na ukatili wa wavamizi wanaoikalia Quds kwa mabavu.
-
Ronaldo; Saudi Arabia na mashabiki wa Iran
Sep 20, 2023 05:36Cristiano Ronaldo, nyota wa soka wa Ureno anayechezea klabu ya An-Nasr ya Saudia Arabia, ambaye alisafiri kuja hapa Tehran kwa ajili ya pambano na timu ya Persepolis ya Iran la mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Asia, amepata makaribisho makubwa ya mashabiki wake.
-
Jeshi la Israel lawaua shahidi Wapalestina 4 Gaza, Ukingo wa Magharibi
Sep 20, 2023 03:47Wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wanne katika mashambulizi mawili tofauti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Gaza.
-
OIC yalaani ongezeko la hujuma dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa
Sep 19, 2023 22:52Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali vitendo vya hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia: Suluhisho pekee la suala la Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina
Sep 19, 2023 03:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Faisal bin Farhan ambaye ameelekea New York kushiriki mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema, suluhisho pekee la kadhia ya Palestina ni kuundwa nchi huru ya Palestina.