-
Sana'a: Kila shibri ya ardhi ya Yemen tutaikomboa kutoka kwenye uchafu wa wavamizi
Sep 07, 2023 07:35Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limesema kuwa, halitotulia hadi pale litakapohakikisha kila shibri ya ardhi ya Yemen imekombolewa kutoka kwenye uchafu wa wavamizi wa kigeni wanaoongozwa na Marekani.
-
UN: Uchunguzi ufanyike kuhusu wanawake 5 Wapalestina waliopekuliwa kwa kulazimishwa kuvua nguo
Sep 07, 2023 04:07Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wafanye uchunguzi kuhusu wanawake watano Wapalestina waliofanyiwa upekuzi baada ya kulazimishwa kuvua nguo.
-
Wazayuni waendeleza unyama kwa kubomoa nyumba za Wapalestina
Sep 06, 2023 23:08Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendelea na hatua zao za kinyama za kubomoa nyumba za wananchi wa Palestina huko Quds inayokaliwa kkwa mabavu.
-
Balozi wa Saudia awasili Tehran; wa Iran pia akaribishwa Riyadh
Sep 06, 2023 07:06Baada ya kupita miaka kadhaa tangu kuvunjika uhusiano wa kidiplomasia baina ya Iran na Saudi Arabia, Balozi mpya wa Saudia amewasili hapa Tehran; hatua inayoashiria kufunguliwa kwa ukurasa mpya wa uhusiano baina ya mataifa haya mawili.
-
Hizbullah yaikosoa Bahrain kwa kuruhusu kufunguliwa ubalozi wa Israel
Sep 06, 2023 07:06Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeujia juu utawala wa Aal-Khalifa wa Bahrain kwa kuuruhusu utawala haramu wa Israel kufungua ubalozi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi.
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein
Sep 06, 2023 04:30Kwa miaka kadhaa sasa, matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein bin Ali (as) yanafanyika kwa njia mpya na ya kupendeza zaidi kuliko nyakati zote za huko nyuma. Matembezi haya yana jumbe kadhaa za kisiasa.
-
Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo
Sep 05, 2023 23:44Rais wa Iraq amesema kuwepo uhusiano wa karibu kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kutapelekea kuimarikaa usalama na uthabiti wa eneo.
-
Indhari mtawalia kuhusu njama za Marekani na kuhuisha kundi la Daesh
Sep 05, 2023 23:16Katika siku za hivi karibuni, vyanzo vya habari vya ndani nchini Syria na Iraq vimekuwa vikiripoti mara kwa mara kuhusu njama za Marekani za kufufua kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya kitakfiri kwa kuwatorosha wafungwa wa kidaesh na kuanzisha uratibu kati ya makundi mengine ya kitakfiri huko Syria.
-
Gavana wa Karbala: Mazuwari wa Arubaini mwaka huu kupindukia milioni 30
Sep 05, 2023 08:48Gavana wa jiji la Karbala nchini Iraq amesema mji huo mtakatifu utapokea wafanyaziara zaidi ya milioni 30 katika Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
-
UN ina wasiwasi kuhusu kukandamizwa waandamanaji wa Kiafrika huko Israel
Sep 05, 2023 04:07Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu namna utawala wa Kizayuni wa Israel unavyowatendea waandamanaji wa Kiafrika katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.