-
Walowezi wa Kizayuni waendeleza uvamizi dhidi ya matukufu ya Kikristo huko Palestina
Jul 24, 2023 22:56Mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya matukufu ya Kikristo na makanisa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni
-
Haja ya Taliban kutafakari upya vizuizi vya maombolezo ya Muharram
Jul 24, 2023 11:01Baraza la Maulamaa wa Kishia wa Afghanistan limeitaka serikali ya wanamgambo wa Taliban kufikiria upya baadhi ya mibinyo na vikwazo ilivyoweka vya kufanya maombolezo ya Muharram.
-
Ripoti: Israel imeua Wapalestina 200 na kukamata watoto 570, 2023
Jul 24, 2023 07:31Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi mamia ya Wapalestina kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu 2023 hadi sasa.
-
Hamas: Israel ni utawala wa Kifashisti
Jul 24, 2023 01:12Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Israel ni utawala wa kifashisti na kwamba harakati hiyo itaendelea kuwaunga mkono na kuwasaidia wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya
Jul 23, 2023 10:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.
-
Nasrullah ataka mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kukata uhusiano wa kidiplomasia na Sweden
Jul 23, 2023 04:12Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameyataka mataifa ya Kiarabu na Kiislamu kukata uhusiano wao wa kidiplomasia na Sweden baada ya kushuhudiwa matukio ya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi hiyo.
-
Yemen yapiga marufuku bidhaa za Sweden kwa kuvunjia heshima Qurani
Jul 22, 2023 07:39Serikali ya Uokovu wa Kitaifa wa Yemen imepiga marufuku bidhaa za Sweden kuigizwa nchini humo, kama jibu kwa hatua ya nchi hiyo ya Ulaya ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
-
Askari katili wa Israel waua vijana wa Kipalestina huko Ramallah
Jul 22, 2023 04:42Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili wa Kipalestina na kuwajeruhi vibaya wengine kadhaa wakati wa mashambulizi katika mji ulioghusubiwa wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah.
-
Bunge la Jordan lataka Sweden ihukumiwe kimataifa na kusitishwa mikataba yote na nchi hiyo
Jul 22, 2023 00:30Bunge la Jordan limetoa wito wa kuhukumiwa Sweden kimataifa kutokana na hatua yake ya kuruhusu vitendo vichafu vya kuvunjiwa heshima Qur'ani tukufu kkufanyika katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Kurejeshwa kwa uhusiano kati ya Iran na Misri kunahitaji uamuzi wa kijasiri na wa kihistoria wa viongozi wa Cairo
Jul 22, 2023 00:14Katika siku za hivi karibuni, kufuatia kurejeshwa kwa uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia, habari zimesikika kuwa urejeshaji uhusiano na Iran utazijumuisha nchi zingine, Misri ikiwemo.