-
Bin Salman aishukuru China kwa juhudi ilizofanya kufanikisha mapatano kati ya Saudia na Iran
Mar 28, 2023 06:13Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman ameshukuru na kupongeza juhudi zilizofanywa na China katika kufanikisha makubaliano yaliyofikiwa kati ya Saudia na Iran na kustawishwa uhusiano wa ujirani wa Riyadh.
-
Netanyahu alegeza kamba baada ya maji kumfika shingoni
Mar 28, 2023 03:59Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu amelazimika kuakhirisha utekelezaji wa mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi ya mahakama' kufuatia maandamano ya Wazayuni dhidi ya mpango huo kwa wiki 12 mfululizo.
-
Imarati yalaani mpango wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni
Mar 27, 2023 22:42Wizara ya Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa ya Imarati imelaani uamuzi wa utawala haramu wa Israel wa kutaka kujenga vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya Ukingo wa magharibi wa Mto Jordan huko Palestina.
-
Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu
Mar 27, 2023 08:01Waumini wa Kiislamu wametimuliwa katika Msikiti wa al-Aqsa baada ya Wazayuni wenye misimamo mikali wakiwa wameandamana na askari wa utawala haramu wa Israel kulivamia eneo hilo tukufu la Waislamu.
-
Rais wa Israel ataka kusitikishwa haraka mageuzi ya mahakama ya Netanyahu
Mar 27, 2023 07:56Rais Isaac Herzog wa Israel amemtaka Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kuachana na mpango wake wa kile kinachoitwa 'mageuzi wa mahakama'.
-
Miaka 8 ya vita Yemen; Muqawama wazidi kuimarika na kushikamana
Mar 27, 2023 04:14Wananchi wa Yemen jana walifanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Sana'a na katika miji mingine ya nchi hiyo kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa nane wa mapambano ya wananchi wa Yemen mkabala wa vita na mzingiro uliowekwa dhidi ya nchi hiyo na muungano vamizi wa Saudia.
-
Watoto; wahanga wakuu wa vita vya miaka 8 nchini Yemen
Mar 27, 2023 03:50Mwaka wa 8 wa vita dhidi ya Yemen umemalizika huku takwimu zikionyesha kuwa, kwa wastani, mtoto mmoja wa Yemen anafariki dunia kila baada ya dakika 10 katika vita hivyo.
-
Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani
Mar 26, 2023 22:41Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.
-
Jordan yalaani upanuzi wa vitongoji vya walowezi unaofanywa na Israel
Mar 26, 2023 22:41Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jordan imelaani hatua ya utawala haramu wa Israel ya kujenga nyumba nyingine mpya zaidi ya 8,000 ikiwa ni katika mpango wa upanuzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.
-
Kundi la Iraq latangaza kuhusika na shambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Syria
Mar 26, 2023 07:58Kundi la Iraq linalojulikana kwa jina la Brigedi ya al Ghaliboun (Ghaliboun Brigade) limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya wanajeshi vamizi wa Marekani iliyoko mashariki mwa Syria na kutoa onyo kwa wanajeshi hao.