-
Ushindi Mpya wa Ghaza; Hamas na Jihadul Islami dhidi ya magenge ya Shin Bet
Oct 17, 2025 08:30Baada ya kusitishwa mapigano na utawala wa Kizayuni, vikosi vya Muqawama vya Ghaza vimeingia katika vita vipya vya kupambana na magenge ya mamluki wa shirika la kijasusi la Israel Shin Bet kwenye Ukanda wa Ghaza ili kuwazuia majambazi hao kuunda maeneo yaliyojitenga chini ya uongozi wa utawala wa Kizayuni.
-
UNRWA: Watoto zaidi ya 650,000 wa Palestina wanakosa masomo kwa mwaka wa tatu sasa huko Ghaza
Oct 16, 2025 22:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza leo kuwa zaidi ya watoto 650,000 Wapalestina wanakosa elimu katika Ukanda wa Ghaza kwa mwaka wa tatu mfululizo.
-
Gaza, miaka miwili katika moto na damu; kilio kisicho na majibu katika kimya cha dunia
Oct 16, 2025 22:44Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha kuibuka migogoro 15 ya kimsingi kwa wakazi wa eneo hilo.
-
Kuongezeka uraibu wa dawa za kulevya katika jeshi la Israel/Uchokozi wa utawala huo dhidi ya Lebanon waendelea
Oct 16, 2025 07:11Taasisi ya Israel ya Al-Sam, inayoshughulikia matibabu ya waraibu wa dawa za kulevya, imefichua katika taarifa yake kwamba asilimia 13 ya wanaopata matibabu ya uraibu katika taasisi hiyo ni askari wa akiba wa jeshi la Kizayuni.
-
Malori ya misaada yasubiri 'idhini ya Israel' Rafah ili yaingie Gaza
Oct 16, 2025 01:54Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel ili yaingize misaada hiyo ya dharura.
-
Muqawama: Hatutaruhusu Palestina iwe ngome ya mamluki wa Kizayuni
Oct 15, 2025 22:58Makundi ya Muqawama ya Palestina yamepongeza operesheni ya kuzisafisha taasisi za usalama katika Ukanda wa Ghaza, na kutangaza kuwa Palestina kamwe haitakuwa kimbilio na ngome ya mamluki wa adui Mzayuni.
-
Mfalme wa Jordan: Asia Magharibi itakuwa na hatima mbaya bila kuundwa taifa la Palestina
Oct 15, 2025 22:56Mfalme Abdullah II wa Jordan amesisitizia udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Jihadul Islami: Muqawama haujaafiki kipengee cha kuweka chini silaha
Oct 15, 2025 07:50Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Jihadul Islami ya Palestina amepuuzilia mbali wazo la kupokonywa silaha wanamuqawama na kusema kuwa, makundi ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina hayajaafiki kipengele kinachohusiana na upokonyaji silaha.
-
Jinai za Marekani nchini Syria
Oct 15, 2025 05:14Marekani imekuwa nchini Syria tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na ISIS na imefanya jinai nyingi nchini humo.
-
Kwa nini makundi ya Palestina yanakichukulia Kikao cha Sharm el-Sheikh kuwa kisicho na maana?
Oct 15, 2025 04:14Harakati ya Hamas imetoa tamko bila kutilia maanani mkutano wa kilele wa "Sharm al-Sheikh" ikisisitiza udharura wa kuzingatiwa haki halali za Wapalestina.