-
Imarati yatumia dola milioni 50 kuzalisha filamu ya kuichafua Qatar
Jun 24, 2021 02:50Umoja wa Falme za Kiarabu umekosolewa vikali kwa kutumia makumi ya mamilioni ya dola kuzalisha filamu ambayo inaisawiri jirani yake Qatar kama 'dola la kigaidi.'
-
Ismail Hania: Muqawama ni njia fupi zaidi kwa ajili ya kurejesha haki za Wapalestina
Jun 23, 2021 23:14Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ambaye amefanya ziara nchini Mauritania amesisitiza juu ya ulazima wa kuendeshwa muqawama ikiwa njia fupi zaidi ya kufanikisha kupatikana haki za Wapalestina zilizoporwa.
-
Al Wifaq: Utawala wa Aal Khalifa ni wa kizamani
Jun 23, 2021 23:07Jumuiya ya Kiislamu ya Bahrain ya al Wifaq imesisitiza juu ya ulazima wa kutekelezwa marekebisho makubwa na mapana nchini humo na kueleza kuwa utendaji uliopitwa na wakati wa utawala wa Aal Khalifa hauwiani na mazingira ya sasa.
-
Kuondoka na kurejea balozi wa Saudi Arabia nchini Qatar mwezi Juni
Jun 23, 2021 21:41Mwezi Juni umedhihiri kuwa na nafasi maalumu katika uhusiano wa miaka ya hivi karibuni baina ya Saudi Arabia na Qatar. Mwezi Juni miaka minne iliyopita, Saudi Arabia ilikata uhusiano wake wote na Qatar na kuiwekea vikwazo vya pande zote nchi hiyo ndogo ya Kiarabu. sasa hivi na baada ya kupita miaka yote hiyo, Saudia imeamua kumrejesha Qatar balozi wake katika mwezi wa Juni.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel kuitembelea Imarati
Jun 22, 2021 21:57Waziri mpya wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel anatazamiwa kufanya safari ya kwanza ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu wiki ijayo.
-
Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni
Jun 22, 2021 03:47Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.
-
"Chinjachinja" wa kundi la kigaidi la Daesh aangamizwa nchini Iraq
Jun 22, 2021 02:50Harakati ya wananchi wa Iraq ya al Hashdul Shaabi imetangaza kuwa imefanikiwa kumuangamiza mmoja kati ya viongozi hatari zaidi wa kundi la kigaidi la Daesh ambaye alikuwa maarufu kwa jina la "Chinjachinja" katika mkoa wa Diyala.
-
Saudia yalegeza msimamo mkali na kurejesha balozi wake Doha, Qatar
Jun 21, 2021 23:50Utawala wa Saudi Arabia umelegeza misiammo yake mikali na hatimaye kuafiki kumrejesha balozi wake katika mji mkuu wa Qatar, Doha, baada ya miaka minne.
-
Uporaji wa mali ya Syria na Iraq, sababu ya mashinikizo ya wananchi ya kutaka wavamizi wa Kimarekani waondoke
Jun 21, 2021 22:01Kuwepo kwa majeshi vamizi ya Marekani katika eneo lolote la Magharibi mwa Asia na hata maeneo mengine ya dunia daima kumekuwa sababu ya ukosefu wa amani na mashaka na machungu kwa wakazi wa maeneo hayo, tofauti kabisa na madai yanayotolewa na serikali ya Washington.
-
Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto
Jun 21, 2021 07:29Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutoiweka Israeli kwenye orodha nyeusi ya kila mwaka ya makundi na nchi zinazohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto, ikisema kupuuza jinai za utawala huo kunawapa kinga ya kuhukumiwa Wazayuni wanaoua watoto.